Bee Gees founder Robin Gibb, pioneer of disco, dies at 62

R.I.P. Gibb!
Dada, umetaja kitu ambacho daima kinanitatiza na kujiuliza - kulikoni na wanamuziki wa sasa? Wanamuziki wa zamani walijali sana ubora kuliko wingi/ukubwa wa kazi zao. Pia mziki wa zamani ulikuwa wa "team play" ndio maana wengi wamebakia kuwa legend. Kwa nini wanamuziki wa sasa ndani ya muda mfupi wanafifia haraka? Hatuna haja ya kuangalia wa nje kwa hili mifano ya petu inatosha.

Wanamuziki wa sasa watabaki kwenye vitabu tu in the future generation, na hali wa zamani watabaki, kwenye vitabu, kwenye ma radio/TV/Net na most importantly kwenye mioyo yetu. Wasasa they are doing it all wrong na bado hawajaamka kua as much as waona wapo juu bado wame lala.... Too many short cuts...
 
RIPS RG....and thanks for the memories.

 
Last edited by a moderator:
Huu wimbo na Staying alive zote za Bee Gees ndio zilizoompa umaarufu mkubwa John Travolta katika uwanja wa entertainment duniani katika ile movie ya Saturday Night Fever.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom