beberu mwenye mwanya wa juu...nomaa!u realy don't know what he is capable of.

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
anajua kuomba sana...
na huwa hakosi kitu akiomba...
ana maneno matam yanayoshawishi...
kaa chonjo!!
 
Hahahaaa beberu mwenyewe yuko kiembe mbuzi...au ndo yule uliyemchinjia NyaniGabu??
Yaani Erickb52 mie hata sijaielewa mada, nimeona heading ya beberu nikajua ndio yule mla majani kufungua ndani holaaa! Ni fumbo hili au methali?...lol, kama umeelewa nifafanulie mpendwa!
 
Unajua mabeberu halisi yanavyobembelezaga?? Huwa yanabembeleza hadi jike linakubali bila nguvu...sasa hapa anafananisha na watu wenye mianya...teh wako hivyo pia
 
beberu halisi: ...lol
mm namaanisha beberu tu...
lisilo halisi ni lip erick?
 
Back
Top Bottom