Mhhhhh.......thanx
Kaka kama hujafika karatu usiropoke unajiaibisha! Karatu kuna kila kitu kwa maendeleo ya binadamu, huwez kufananisha karatu na Kilindi, Karatu kuna umeme,barabara ya lami frm Arusha via Monduli to mto wa mbu mpaka Karatu, mabenk ya nje mfano exim, hotel za kitalii, Bureau de change,maduka makubwa n.knote.Sikuhadithiwa nimefika mwenyewe kujionea, mpaka ngorongoro crater a.k.a the worlds heritage.But kwa kuwa ww sio mtalii wa ndani sikulaumu.Pole sana.Tuje Kilindi sasa, hakuna lami,frm Handen to Kilindi ni tabu tupu barabara mbovu mno,Kuna njaa, huduma za afya mbovu, hakuna hospital binafsi hata moja, bank yenyewe ilikua hakuna yan mishahara kuipata mpaka uende wilaya nyingine,bt now nasikia nmb wamefungua, hakuna huduma za maji, je ni halali kwa Beatrice Shelukindo kuzungumzia Jf mjengon na kusahau wapiga kura wake wanakufa njaa,maji pia hawana! Kwanini asizungumzie juu ya kupanda kwa bei ya mafuta ya taa mana absolutely wapiga kura wake kule Kilindi wataathirika vibaya!