beated: a drum machine for symbian phones

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
jaman anaye fahamu application inayo itwa beaTED ambayo ni drum mashine ya symbian s60 3rd edition.
Inatumika tengeneza beats yani iko kama fl studio na ina 16 squence, ma guiter, piano, kicks, snares, hit hats na mengne.
Nimejaribu i download kwenye e63 from different sources nkijaribu install inaniambia erro certificate expired. Merudisha tarehe nyuma lakini wapi.
Any 1 who can help me.
 
download helo0x (ya kwanza ni herufi o ya pili namba sifuri ) itafanya kila kitu yenyewe, ila heloox yenyewe ni unsigned so download kwenye pc yako helo0x signer isign na imei yako hack simu
 
download helo0x (ya kwanza ni herufi o ya pili namba sifuri ) itafanya kila kitu yenyewe, ila heloox yenyewe ni unsigned so download kwenye pc yako helo0x signer isign na imei yako hack simu

Mkuu fafanua kidogo tena hapo, na mimi nataka kufanya hii kitu ila sijakuelewa..Af vp hamna risk uki hack?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom