Be Respected... Demand Respect.. Sept 20th, 2012

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
423586_10151167190156156_100972694_n.jpg
 
Hivi unafikiri kwanini Rosa Parks aliamuaa kukaa kiyi cha mbele kwenye basi badala ya nyuma ambako alitarajiwa akae? Au kwanini tuliamua kudai uhuru?
 
Come on MM!!! come out plain bana. What the hell is this??? Tukishavaa hivyo ndo inakuaje sasa?? Tunaandamana au?? To be honest, sijakusoma kbs.

labda ni katika rufaa ya Mbunge wa Arusha......Kamanda Lema.......
 
Umenichekesha tu na attitude yako ya kitanzania. Umeona kitu, hujakielewa na hujajua motive yake. Tayari unajiuliza nani anafadhili. Hujafikiria kama wewe unaweza kufadhili, wanatafutwa wafadhili ama haihitaji ufadhili. Unakuwa kama mtu ambae ukimuambia nna shida na wewe anawaza unaenda kumkopa. Typical style of governing this country, ombaomba nambari moja lakini ya 3 kwa kuzalisha dhahabu ulimwenguni.
Wewe ni waziri?
sio kuwa napenda wafadhili King'asti, but i'm trying to be curious of the general motive of this campaign,its obtectives and the people or firm,behind it
 
Last edited by a moderator:
Kusoma Thread za Mzee Mwanakijiji ni kama vile kusikiliza hotuba za Mwalimu Nyerere. THINK BIG
 
tutafika tu... I choose to be respected... wanaosema kuwa heshima inakuwa earned wanashindwa kuelewa kuwa mtumwa hawezi kupewa heshima... hata afanye vipi kuearn it.. mwisho wa siku inampasaa kuidai. Watawala wetu hawaheshimu wananchi... it is about time to show (this is just the beginning)... that we as citizens anywhere and everywhere we choose to be respected. Iwe na mfagizi wa ofisi au na waziri!!
 
MMM, sio kila mtu anaelewa ujumbe wako hapa............ it must come with some background on why 20th september, why black and white and why demand respect

huwezi kumlinganisha Rosa Pack na demand respect... Rosa wanted equality not respect

we tend to mix up some stuff,

equality is not respect!!!!........... one is inherent and one is perceived
 
Back
Top Bottom