Be aware of ripe banana!

Hayo mambo yanafnayika India na Bangladesh, sidhani kama hapa kwetu kuna huo mchezo.

Hawana haja ya kutumia hayo madawa. Watu walivyokuwa wavivu wa kula matunda wanaweza tu kuzulula nazo mpaka zinaiva lol.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom