Be a porn star - last 39.5 min in bed

Hongera kwa kutafutwa na mademu. Sasa jitahidi ujifunze technique za kuridhisha 'mwanamke'
 
I think sex on jf has been overated. Too much sex topics, na nahisi ni vile vijana vya chuo vinakaa tu kuandika uchafu wao. Ukishapitia huo umri utaelewa nasema nini. Maisha magumu kufikiria ngono tu all the time.

natamani kweli japo nikupe offer ya chai ya mkandaa!yani umenena vyema
 
khaaaa mwanamke gani atakubali muda wote huo? unajenga ghorofa au khaaa ptuuuuuuuuu
hayo ni mapenzi au adhabu
mimi nataka wa dkk 2 tu
mapenzi ni zaidi ya sex
wapo tena wengi sana.hususani wale akina dada wenye uwezo wa ku-multiple orgasm.unless wewe unaenda moja na kulala fofofo.:biggrin:
 
khaaaa mwanamke gani atakubali muda wote huo? unajenga ghorofa au khaaa ptuuuuuuuuu
hayo ni mapenzi au adhabu
mimi nataka wa dkk 2 tu
mapenzi ni zaidi ya sex

hahahahaha dakika 2 si kama cha jogooo sema mapenzi mazuri ni romance ya kutosha na wakati wa sexy mnakwenda sambamba mpaka haja ndogo zinagongana zenyewe
 
sasa zikikusaidia wewe na mie ndio zitanisaidia?

Mie naondoka masaa wawili na siri huwa ni kutulia tu kama nanyolewa, yakiisha nachomoa na wote tunaridhika.

Huyu ndie Kongosho wangu, akitokea mwingine ni wa kichina! Chezeya Kongosho wewe! Baelezee Konnie, baelezee!
 
Schrodinger, porn star is a person who appears in a pornographic film!
Bro wewe unacheza aya makitu! vipi Viagra mbona nasikia ndio inatumiwa sana
 
“wakati mwingne unagonga mpaka saa 1:30”, na bado wanakukimbilia?
 
sithani kama wadada wanapenda kuchelewa hivyo!me nshakimbiwa sana kwa dakika 30 tu
 
Mkinyimwa mkopo mnagoma na kulalamika mkipewa mnakimbilia kununua vi bundle vya wiki kuja kupost huu upumbavu
 
Labda sio topiki nzuri, lakini kwa wanaume wanaotaka sifa kwa midemu fuata tips hizi hapa chini. Hizi njia zimenisadia na ndo mana nikishaduu na demu iko siku atanitafuta mwenyewe. Kwa wale wanaotaka kulamba demu muda mrefu ktk bed bila uume kulegea au kukojoa haraka. Tips hizi hapa kwa ufupi sana. 1. RELAX mwili wako, tulia acha misuli itulie, usikunje vidole vya mguu, tuliza akila acha papara. 2 . Control jinsi unavo hema. Pumua taratibu na polele hii itakusaidia ku relax.imenisaidia sana . 3. Kegel exercise- híi inahusisha misuli inyo saidia kuzuia mkojo. Ukiifanyia misuli yako zoezi hili na ikawa yenye nguvu itakufanya uwe unapiga bao muda wowote unaotaka. Pia tizi hili litafanya uume uwe unasimama sana na kuwa mgumu kama chuma.
Kwa hzi tips tatu, unakuwa unawaridhisha mademu na watakuwa wanakukimbilia kama wanavonikimbia mimi. Kiu kweli nimekuwa zaidi ya porn star, wakati mwingne unagonga mpaka saa 1:30, fuata haya mkubwa. Mwanaume mzuri utamjua kitandani, sio pesa wala uzuri, kukea hata nyani ana kea

Huna kazi za kufanya!!.
 
Humu JF inaelekea kuna magoi goi, ndo mana mnagongewa wake/mademu zenu. Endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutawagongea msiowaridhisha
 
Humu JF inaelekea kuna magoi goi, ndo mana mnagongewa wake/mademu zenu. Endeleeni kuficha matatizo yenu, sisi tutawagongea msiowaridhisha

wewe huna mpango wa kuoa? je unakesha na GF wako kwamba una guarantee agongwi na jamaa wengine??
 
Wanaume wanapenda sana kuonea tamaa wenzao, wakisikia mwenzio ana uume mkubwa ,kiroho kinamuuma, akiona mwenzie ana mke/demu mzuri kiroho kinamuuma, akiona mwenzie ni mtom...ji mzuri roho inamuuma. Acheni hizo , fanyieni kazi matatizo yenu ili muwaridhishe wake/wapenzi/mademu zenu.
 
Back
Top Bottom