BBC yataja JF inavyojaribiwa kuvurugwa na Serikali ya Tanzania

Status
Not open for further replies.
JF tutaendelea nayo.... tutawakosoa magamba mpaka waishie baharini kama OSAMA.

hao vibaka wa ccm wametumwa huku kuvuruga hawana hoja, kwa hiyo watanzania wanajua

Kila ninapoenda Internet cafe, Nafungua JF na ninamuachie mtumiaji mwingine na ninaisave kwenye boomark.

Viva Chadema, chadema ndo itatuletea maendeleo, ajira kwa vijana na hatimae kuondoa umasikini.
 
JF inatakiwa kuwatumia member wake vizuri walio na utaalam wa CYBER SECURITY. Members hapa naamini wanaweza kujitolea iwapo JF Admin wataona kama kuna huo umuhimu.
 
Ni kweli kuna wavuruga mijadala hapa, lakini nashauri tuende nao kwa hoja. Hawawezi kushinda kwa hoja maana wametumwa kuja kutetea kitu ambacho hata wao hawakiamini. Wahenga walisema "Lakuvunda halina ubani".
 
Aliyekwambia kuwa JF ni wakala au wanashabikia chama au imani fulani ni nani.

JF ni ya kila ambaye anataka kutoa mawazo yake, haijali chama wala imani ya mtu, kila mmoja anakaribishwa.

Ni kweli mkuu. Hata hivyo najiuliza..... kama habari hii ni ya kweli:
  1. Serikali inachukizwa na kitu gani kinachoendelea hapa JF?
  2. Kama JF ingekuwa inapigidia debe CCM (Hata kama ni kinafiki) ingeadabishwa na Serikali kwa uchochezi?
  3. Serikali ingeamua kuweka mamluki/mapandikizi humu ili kuvuruga JF, hao mamluki wangekuwa wanaanzisha thread za aina gani na post zao zingekuwa na maneno gani?
Just a thought.
 
Kwa awareness iliyopo tz kwa sasa,this is too late hebu jiulize ni asilimia ngapi ya watz walio na access ya intanet particularly jf?? Asilimia ngapi wapo vijijini? Asilimia ngapi wapo mjini?
Wakipata jibu wajisachi kwanza huenda hawajui ni kwanini wamepoteza viti karibia vyote shinyanga vijijini na hakuna umeme wala intanet??
Bila shaka jibu lao ni JF!!!!!
 
Wanapambana na mitandao badala ya kudeal na fikra za watu? Afrika kamwe hatutaweza kuendelea!
 
Si ni wao waliosema kuwa Magazeti na Mitandao yote haisomwi na watu zaidi ya 10,000, leo wametishika nini?
 
Wakati mwingine watu wanakaa usiku ukiingia wanaanza kujitisha na vivuli vyao wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Hawa watu wamepitwa na wakati, siku nyingi wanasema kuua JF lakin bado tunadunda kama mpira wa kona. Ki ukweli Mungu yuko nasi, hakuna wa kututetelesha, tuko juu, sis ni vichwa, anayepinga haya waje wachore kidole chini waseme uzuri wao ni upi? Mazuri waliyofanya ni yapi? Kibaya kilichoongelewa hapa kama threat ni kipi?

Wote watageuka na kuondoka hutomuona mtu. Glory be to GOD.

AMEN
 
Mjinga ni Mjinga tu! kwanini serikali hisiwe inachukuwa mawazo mazuri JF kuyatumia maana hata kasi ya maendeleo ita paa au ndio mtindo wa kupinga hata jambo jema
 
Wakuu hili ni hakika liko mbioni kwa waoga hawa, wanajisahau kuwa mapambano siku zote hayategemei silaha moja, uwepo au kutokuwepo JF, uwepo au kutokuwepo Chadema vyote havitazuia mapambano hadi mbivu na mbichi zieleweke. Na ifahamike kwa Watanzania wote ukombozi wa kweli ukija utakuwa ni wa wote si wa JF wala Chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom