Elections 2010 BBC wasema JK Anatarajiwa kushinda kwa kishindo!

Bbc swahili = wameshanunuluwa.
Kiufisadi na kwa kuchakachua utabiri wa bbc utakuwa wa kweli, inaniuma sana, kwa nini bbc hawatangazi mambo ya kweli?
 
Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!

Alikiri Jk kuwa hakuna waalimu, maabara hata maktaba. Matarajio yake ni "HISANI YA WATU WA MAREKAN" ambao Tz inawashinda kwa RASILIMALI.
 
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.

Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Hatuhitaji BBC kutuelezea nani anashinda. Hii si kazi yao, watuachie sisi wananchi wa Tanzania. Maana sisi hatuwaingilii chaguzi za nchini kwao pia. Mikono mirefu ya wezi wa nchi hii tunaielewa vizuri na wanatumia media kama bbc kulaghai umma. Sisi sio wageni wa hilo. Go slaa, ushindi upo juu yako kwa kishindo cha zaidi ya asilimia 60 na ushee. Mungu ibariki Tanzania mpya, Washindwe wezi wa nchi yetu, pamoja na wezi wa kura.
 
Jamani tukapige kura ili unabii hewa wa Bibi C na sisi sisi em usitimie... Please don't miss and make sure you let them downnnn!
 
mjiandie kuchukua matokeo yenu, kuliko kuishi kwa kudhani wakati goma liko uwanjani. msijekutamani matokeo yasiyo yenu kwa hisia au mazoea.

Muungwana umenena jambo ambalo huenda likasababisha watu wengi wenye matumaini bandia kuwehuka pale ukweli utakapojili. nawasikitia sana
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
we umejuaje kuwa hawajajiandikisha kama siyo mchakachuaji?
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Mwizi wa kura mkubwa weeee. Tume imeishasema 100% ya waTz wamejiandikisha ndo mana wapigakura tuko 19.6M, sasa wewe unasema wanaohudhuria mikutano hawajajiandikisha??? Uko nchi gani wewe mpuuzi, nyie ndo mliozoea kutunyonya watanzania wenzenu.
 
CCM watashinda.Lakini kama uchaguzi utakuwa transparent free and fair Ushindi wa JK hautazidi 55 per cent.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Makamu wa rais wa Kenya alisema serikali yake inataka kuendelea kufanya kazi na kikwete

Uingereza kupitia BBC wameshatangaza JK atashinda kwa kishindo

Kenya ndiyo inayoongoza kwa uwekezaji hapa tz, wakifuatiwa na Uingereza

Tafakari
 
BBC na Makampuni mengine kama CCN hutumika kama propaganda za nchi za magharibi kwa maslahi ya nchi zao.
Watu ambao wanashabikia.kikwete akishinda taabu itakuwa kwetu sote....
 
jana nilimsikia Salim Kikeke anatangaza mkutano wa kikwete msisitizo ulivyokuwa ilikuwa kama vile yeye ndiye mtoto wa mfalme Rizi1! BBC acha kabisa!

Nafikiri ahadi ya Ukuu wa Wilaya!
 
NASKILIZA bbC 89.0 KIKEKE IS VERY BIASED SHUTTING THE GUEST WHENEVER HE SPEAKS AND DEFENDING jk... KIKEKE IS IRITATING.. surely lazima niwandikie BBC through that complain link

anatia kinyaa
Mkuu funika kombe.....
 
NASKILIZA bbC 89.0 KIKEKE IS VERY BIASED SHUTTING THE GUEST WHENEVER HE SPEAKS AND DEFENDING jk... KIKEKE IS IRITATING.. surely lazima niwandikie BBC through that complain link

anatia kinyaa

Kumbe umemjua....lakini mimi siamini ameongwa ni udini tu unasumbua
 
Mwizi wa kura mkubwa weeee. Tume imeishasema 100% ya waTz wamejiandikisha ndo mana wapigakura tuko 19.6M, sasa wewe unasema wanaohudhuria mikutano hawajajiandikisha??? Uko nchi gani wewe mpuuzi, nyie ndo mliozoea kutunyonya watanzania wenzenu.
Ukweli unauma sio? Kikwete atashinda hata ukilala kwenye kituo cha kupiga kura!
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Umesema Ukweli mtupu. Kilio na mshangao ni kesho!!
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Takwimu umezipata wapi? au wewe shehe yahya?
 
Back
Top Bottom