Elections 2010 BBC wanauma bila kupuliza

Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!

Tido's influence haunting us. Mmmh.... they can't let him down, can they??
 
Nchi za magharibi hutumia sana International media zao kama njia moja wapo ya ujasusi,ingawa ni ngumu kuwashtukia moja kwa moja,lakini ukweli ni kuwa hutumia propaganda dhidi ya serikali au nchi ambayo hawaipendi kwa mslahi yao.Kwa propaganda hizo huathiri wananchi kisaikolojia na hivyo kuwagawa.Fuatilia kwa ukaribu habari zinazohusu N.Korea,Zimbabwe,Iran, Myanmar n.k,CNN,BBC vipo kwa maslahi ya Marekani na Uingereza,kama vileTBC kwa ccm,mbaya zaidi watu wanaviamini. Walipiga makelele kuhusu haki za binadamu Uchina,leo hii mbona hawa pigi kelele kama zamani?China hawakubabaika na leo wako juu.
 
Nami nimesikiliza jana juu ya mabango mengi, na kwamba wapinzani hawaonekani kwenye mabango. Kisha wanamhoji mama mmoja wa Kenya aliyesema anaamini CCM watashinda kwa asilimia 80% au zaidi. Kipindi kiliendeshwa na mtu aitwaye Ben Mwang'onda na mama wa Kenya alihojiwa na Mhelela. Kwa kweli BBC Swahili wamepoteza ladha.
 
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!

I noted that too. Better tell them to be unbiased. Otherwise, they have to funga vilago and go!
 
bbc kiswahili kwasasa inaongozwa na mkenya, je na yeye anataka vyeo tanzani?

na wewe ni mpumbavu mwingine..hujui kama kenya inafaidika na eac kwa kuinyonya tz..why wouldnt he wanna maintain a status quo..get a knowledge peasant
 
wakuu sure BBC hawana lolote, wanataka ukurungezi kutoka ccm, and now its too late!!
 
Radio fair ni deutsche welle.
naamini wanabaniwa kuingia kwenye kuripoti kwa mapana kwa sababu ccm wanajua hawana mapandikizi mule. ila bbc ambayo TIDO ametokea humo kuna chipukizi kibao ya ccm ambayo yanasubiri kupangiwa kazi na serikali ya ccm.
Kama mnabisha semeni

Hakuna cha ufair. Ukweli ni kwamba CHADEMA inamizizi Ujerumani na inaushirikiano wa karibu na CDU (Chama cha kikristo cha kidemokrasia cha Ujerumani).

Hiki ndio chama kilichopo madarakani sasa hivi cha Mama Mankell.

Kwa hiyo hata kama CHADEMA IKISHINDA nchi itayofaidika sana ni UJERUMANI. Yetu ni macho!
 
Wanasema ukweli kabisa,,, ila nyinyi tu hamtaki kusikia ukweli
Dawa yenu iko jikoni..just 4 days....................
 
hivi mlitaka tuambiwe Slaa atakomba kura zanzibar ndo turidhike wakati hicho kitu hakipo?
Karaha ya manazi waliokubuhu ni kupenda kusikiliza jema tu la chama wakipendacho. Wakiambiwa tofauti hata kama Ndio Ukweli Hawapendi kabsaaa kusikia....Mtalia sana safari hii.
 
BBC Kiswahili kwasasa inaongozwa na Mkenya, je na yeye anataka vyeo Tanzani?

wakenya wana maslahi ya kiuchumi sana tanzania, wangependa hawa mazezeta waendelee kutawala ili waendelee kutuibia tu. sasa hivi wamezagaa kila kona ya nchi wanafanya kazi na biashara mbalimbali. ukifika kwao hata karibu hutapewa lakini kwetu wanakuja, wanaajiriwa, wanaoa, wanaolewa, wanafungua kampuni, ...wanatudharau na kututukana.

kwao hali ilivyo sasa ni faida zaidi na ukakika wa maslahi yao.
 
Bbc unaweza kuipata masaa 24 kupitia masafa ya 102.6 fm. Uwa muda mwingi ni matangazo kwa kingeleza, kimatumbi ni muda ule tu ambao tumezowea kuwasikia kupitia redio washirika.
 
Wajinga mnalalamika kila kitu. Duh! Yaani kila kitu mnaonewa. Dunia ipi tena mnaishi ndugu zangu?
 
Hiyo ni wazi nikwamba mipango ya CCM kuiba kura imeenda mbali imebidi kumtumia Tido na influence ya ya zamani BBC kutuletea madudu WATANZANIA HATUDANGANYIKI CHADEMA DR.SLAA RAIS WETU.TUTAMUAMINI VIPI KIONGOZI WA NCHI ANEKIMBIA MIDAHALO NA VIONGOZI WOTE WA CCM SERA YAO AMBAYO HAIPO NI KUZUNGUMZA NA CAMERA NA SIO WANANCHI .AIBU KUBWA MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom