BBC: Usemi wa Tanzania ni kisiwa cha amani na hizi vurugu za Dini na Siasa Amani ndo inatoweka?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Source BBC

Wageni ni January Makamaba, Heleni Bikijo na Prof kutoka Zanzibar

Makamba anadai toka zamani ametolea mfano wa yeye anavyoishi na mama yake Mkatoliki anashangaa hili linatokea wapi.

Heleni amedai sio rahisi kuelezea vurugu za Zanzibar na Mbagara na Dini hivi iweje watu watake kuchinja mtu na kuchoma makanisa kisa dini au kina ajenda ya siri nyuma ya pazia?

Na anashangaa kuna vyombo vya habari na redio inachotangaza ninibaguzi tupi na serikali ipo na haikemei na wala haifungiwi lakini cha ajabu kuna vyombo vya habari vina fungiwa bila sababu rasmi

Na prof wa Zanzibar amedai kwa Zanzibar huwezi kutenganisha dini na siasa na kwao sio shida na chokochoko zilizopo Zanzibar ni kudai taifa huru sio vinginevyo
 
Na anashangaa kuna vyombo vya habari na redio inachotangaza ninibaguzi tupi na serikali ipo na haikemei na wala haifungiwi lakini cha ajabu kuna vyombo vya habari vina fungiwa bila sababu rasmi

Na prof wa Zanzibar amedai kwa Zanzibar huwezi kutenganisha dini na siasa na kwao sio shida na chokochoko zilizopo Zanzibar ni kudai taifa huru sio vinginevyo QUOTE]

Si angetaja tu redion imaan?
 
Back
Top Bottom