BBC Swahili live online

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
WanaJF heshima zenu wa kuu! Maana nyie ndo kama bunge la jamhuri ya tanganyika. Nahitaji kusikiliza BBC Swahili live online, nifanyaje? Naomba msaada please.
 
nunua radio ndogo ya bendi moja fm ikifika saa kumi na mbili na nusu washa usikilize dira ya dunia live
 
WanaJF heshima zenu wa kuu! Maana nyie ndo kama bunge la jamhuri ya tanganyika. Nahitaji kusikiliza BBC Swahili live online, nifanyaje? Naomba msaada please.

Nenda kwenye tovuti yao ya bbcsswahili
BBC Swahili - Mwanzo

kong'oli (click) kiunganishi (link) iliyoanndikwa habari kila saa live au matangazo mengine live .upande wa kulia kwa juu
 
Back
Top Bottom