BBC News: 'Hotel Rwanda' Hero Paul Rusesabagina Accused of Funding Rwandan Terrorists

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
(Story reported by BBC News)

101119014134_kanda_ya_filamu_ya_hotel_rwanda_226x170_nocredit.jpg

The Rwandan authorities have accused the man on whom the film "Hotel Rwanda" is based of funding subversion.

Paul Rusesabagina became a well-known figure after the film depicted his efforts to save hundreds of Tutsis at his hotel during the genocide of 1994.

Now Rwanda's top prosecutor has accused him of sending money to two former commanders of an extremist rebel group.

Mr Rusesabagina has denied the accusations and says there is a smear campaign against him

Now Rwanda's top prosecutor has accused him of sending money to two former commanders of an extremist rebel group.

Mr Rusesabagina has denied the accusations and says there is a smear campaign against him.

Rwanda's prosecutor general, Martin Ngoga, said Mr Rusesabagina had helped to finance what he described as terrorist activities in Rwanda by funding commanders of the FDLR, or Democratic Forces for the Liberation of Rwanda.

Correspondents say in recent years Mr Rusesabagina has spoken out against the government of President Paul Kagame, which has faced criticism from several quarters that it targets its political opponents.

In a BBC interview, Mr Rusesabagina accused the government of launching a smear campaign against him.

"It is the latest step in a campaign against me by the Rwandan government that has included public insults from the president himself, lies and physical harassment," he said.

Source: Hooked On The American Dream: BBC News-'Hotel Rwanda" Hero Accused of Funding Rwandan Terrorists
 
Haya basi, African presidents want to stay in power at all costs. Anyone who seems to be a threat will have to suffer consequence; wote wamefanana
 
It was just a matter of time. I read a few years ago, articles which smelled of jealousy on his being recognized internationally for helping his hotel guests to get out of Rwanda. A small proportion ( not very significant) thought that the story was exaggerated. I suspected then that this ndugu atapachikwa makosa. Lets wait and see. I do not know what to think of this accusation.
 
Kama ni jealosy allegations hawatamuweza. Hatawale wazungu wenye Mille Collins Hotel walikuwa ni mashuhuda wake. He will still be innocent, famous and popular!
 
Hivi hao magadi wa rwanda ni akina nani?, to me kageme and his blood sucking alies are the number one terrorists of rwandees.
 
Kama ni jealosy allegations hawatamuweza. Hatawale wazungu wenye Mille Collins Hotel walikuwa ni mashuhuda wake. He will still be innocent, famous and popular!

Unajua inakaribia miongo miwili sasa issue hii inaendelea. Kuna watu ni kama wanaanza kutapatapa. Inaonekana kuwa baadhi ya watu Kigali wanaona kuwa legitimcy yao ya kuwa madarakani ni kuwakamata na kuwaadhibu interhamwe na waungaji mkono wao. Na wanataka hiyo ndio iwe ajedna kuu.

Kwa hiyo wataendelea kuwatafuta watu hata kama si wahusika, ile waendelee kujilegitimize. So far tumesikia one side of the story kuhusu genocide, na side yenyewe ni ya Kagame. Kwamba watusi waliuawa, mpaka leo hakubali kuwa wahutu waliuawa.

Lakini ukweli ni kwamba kuna another side of the story ambayo pia inatakiwa isikike. Tukisikia hiyo second side of the story, ndio tutajua nani alifanya nini kwenye genocide. Kwa maoni yangu ni utoto na ujinga kusema kwamba it was only tutsis who were victims of the genocide.

Paul Rusesabagina anaweza kuwa na makosa (kwa mtazamo wa Paul Kagame) lakini hata kwa mtazamao wa wengine inawezekana Kagame naye ana makosa.

It is just a matter of time, turth will come to light.
 
braavo ma brother, mass kilings zilianza mara tu baada ya kagame mwenyewe kuiangusha ndege ilikuwa na viongozi wa rwanda na burundi, kagame alikuwa amejiandaa kutekeleza mauaji ya kimbali. Ndiye anapaswa kubebeshwa damu ya wanyarwanda iliyomwagika wakati huo. Hakika wakati utafika atajibu.
 
Nchi za Afrika ndo zilivyo , ka nchi kakianza kupata maendeleo wasiopenda maendeleo kwa kivuli cha demokrasia n.k wataanza kuivuruga nchi hela watapewa ili mradi tu vuguvugu la balaa liendelee watu wote wa focus huko na suala la maendeleo ya kiuchumi lisimame, sijui ujinga huu na uroho wa madaraka utaisha lini. Watu na wazungu ambao furaha yao ni kuona vurugu vurugu katika Afrika watendelea kutuvuruga mpaka siku tuone ukoloni mambo leo ukeisha komaa vya kutosha inabidi ung'oke kama ulivyokuwa ukoloni ndipo mambo yatabadilika na ndipo Afrika itapata maendeleo ya maana kiuchumi na sisi kuwa kama ulaya na far east asia
 
Wakuu hii ni thread ya miaka miwili iliyopita, tunaona kuwa wakati sasa unabadilika. It is increasingly become evident that the begining of the end of Kagame era has just started.

Kwa sasa UN inaona kabisa kuwa Kigali kwenye kuna serious abuse of human rights na Kivu Nord nako yanayofanywa na janerali Kabarere yamekuwa wazi, ndani ya Rwanda kwenyewe kunakitu kinaiva just a matter of time kitalipuka. Utawala wa Kagame sidhani kama utaendelea kwa muda mrefu sana labda miaka mitano tu atakuwa nje....hapo kizungunuzngu ndio kitaanza. Wait and see..
 
braavo ma brother, mass kilings zilianza mara tu baada ya kagame mwenyewe kuiangusha ndege ilikuwa na viongozi wa rwanda na burundi, kagame alikuwa amejiandaa kutekeleza mauaji ya kimbali. Ndiye anapaswa kubebeshwa damu ya wanyarwanda iliyomwagika wakati huo. Hakika wakati utafika atajibu.

Mkuu, kila mtu mwenye akili timamu anajua fika kwamba chimbuko la zahama yote ile ilitokana na bringing down ndege liyowabeba marais wawili i.e Rwanda na Burundi.

Genocide aliwakumba raia wa makabila karibu yote nchi RWANDA, ingawa Wa TUTSI ndio waliuwawa kwa idadi kubwa kidogo. Baada ya Kagame kuchukua madaraka alielewana na Kabira Sr. wakapeleka jeshi la Rwanda kuwafatilia Wahutu walio kuwa wamekimbilia DRC kwenye makambi ya Wakimbizi, wahutu walichinjwa kama kuku wakazikwa kwenye mass graves, hilo huwa alisemwi!!!

Nikiona International Community inataka kukimbilia kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wakina: Taylor, Milosovic, Gabgo, Bashir, watoto wa Gaddaff, Koni, Kenyatta Jr na wezake lakini hawasemi chochote kuhusu Rwanda na hata wakitamka kauli zao zinakuwa ziko watered down, one could get a feel kwamba wanaogopa regime ya Kagame! Muda wa ku-deal na mtu kama huyu ambaye haeleweki is NOW not later.

Kitu ambacho Dunia haijatambua ni kwamba Kagame na M7 wana mipango ya siri ya kutaka kuigawa DRC specifically North/South KIVU wako determined kweli kweli kutekeleza upuuzi huo- Nchi za SADC ndizo zinaweza kuondoa upuuzi wa gang HILI, jamaa hawa ni watu hatari sana kwa usalama wa Africa ya Mashariki na KATI, lakini hilo Viongozi wenzao wa Africa Mashariki hawajalishtukia; Majeshi ya Angola na Zimbabwe ndio yanaweza kumaliza jeuri za Kagame na M7 waelezwe kabisa kwamba DRC itabaki kuwa nchi moja, ndoto ua visingizio vya kufikili DRC inaweza kuigawa DRC kama SUDAN it doesn't apply in DRC situation. Labda niongezee kwamba personally sina tatizo na Kagame au M7 kama binadamu, matendo yao na kutojali maoni ya International Community ndio huwa siya pendi - Dunia inataka AMANI bwana na sio ulevi wa vita.
 
It was just a matter of time. I read a few years ago, articles which smelled of jealousy on his being recognized internationally for helping his hotel guests to get out of Rwanda. A small proportion ( not very significant) thought that the story was exaggerated. I suspected then that this ndugu atapachikwa makosa. Lets wait and see. I do not know what to think of this accusation.

Movie makers wana desturi ya kutia chumvi kwenye story za watu kuzinogesha Mkuu. He may not even be the reason there was an exaggeration. Inaezekana kabisa ni movie makers waliongezea chumvi kunogesha mkanda.
 
Back
Top Bottom