BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

Tukisema MAGAMBA vimeo hamsikii ... ngoja tuendelee kuaibika!!

Hatuaibiki. Sisi tunapendana na kaka yao mkubwa Marekani. Kuwathibitishia hilo Obama na mkewe na Bush na mkewe July wako hapa. Hatuhofu kabisa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo wamewashtukia watanganyika ni matapeli+mafisadi,wameangalia mfano wa muungano wa tanganyika na zanzbr wanaona ni utapeli mtupu,wameona bora wajiweke pembeni na watangnyka.
 
Wanapanga kujenga reli toka mombasa mpaka rwanda na bomba la mafuta toka lamu mpaka rwanda kupitia uganda... Kagame amesha choka na ubabaishaji wa dar port
 
Imekaa vizuri hii, dawa ya viongozi wababaishaji ni kuwatenga tu kwani ukishirikiana nao watakuangusha..!
 
Nani atapenda kujiunga na nchi ya magaidi? Kila siku viongozi wetu wanahubiri ugaidi na leo kuna magaidi 5 wanashitakiwa Tanzania, nani atajiunga nawewe, sie mshirika wetu ni USA
 
OKAY TUTAJIPANGA WENYWE, j k isikusumbuwe !!!! k k k ni utoto tu wakikuwa wataacha
 
Wataongea nini na omba omba kila uchao kiguu na njia utafikiri anakoishi kuna kunguni na chawa. Mtu hajui hata chanzo ama sababu ya matatizo ya nyumbani kwake, yet! anajidai na kujitapa kuwa yeye ni baba wa familia
 
Jaribu kuangalia whats common between those three.

1. Tribalism.
2. ICC-prone.
3. Hated by the West, not really accepted by the East.
4. Mombasa port.
5. AFCOM (As a source of forex, and a way of brown nosing the US just to pacify their people's outcry).

Baada ya hapo, unaweza labda kujua kwanini wamemside track JK.

Unasahau What's COMMON of JAKAYA KIKWETE are all what you Mension na anafanya kibias... Pro-ISLAM angalia hamkemei NAPE NNAUYE anapoongelea CHADEMA ni CHAMA cha WACHAGGA; Kama NYERERE angesikia hivyo toka kwa KIONGOZI wake NAPE NNAUYE na VIMADA wake Wangekuwa Mashambani wanalima KATANI

Umesahau yeye ndio Mwanzilishi wa UBAGUZI NCHINI KWETU hadi sasa hatuelewani... Sasa Unadhani na kujikosha kuwa MOI; MUSEVENI na KAGAME ndio wabaya -- CHUNGA angalia unakotoka na unakokwenda... MDOMO MCHUNGU zaidi ya pilipili...

Achana na AFCOM ongelea ya Maana UDINI UKABILA ndio TATIZO
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha


Can you plan your future with a person who is always on transit?
 
Kobelo, vp kuhusu china sijui uko wapi hapo ila kumbuka bado tunatawaliwa lkn tujiulize tunatawaliwa na NANI? Coz kutawaliwa hakuepukiki kwa sisi waafrika kwa sababu viongozi wanaotutawala sisi wananchi nao wamekubali kutawaliwa
 
Naona watanganyika wivu na choyo vinakusumbueni,kwani nyie si mnao muungano wenu na zanzibr? mbona hamjawaalika hata siku moja?ni miaka 50 sasa hakuna hata nchi moja mliyoiomba wajiunge na nyie,waacheni na wao wajiunge wapate maendeleo nyie mbaki na umasikini na ombaomba.
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha

Binafsi sifikirii kama kuna umuhimu wa Tanzania kuwa na umoja na Kenya,Uganda,Rwanda,Tanzania ni nchi tajiri sana kama kuwa na umoja basi tuwe na umoja na Congo nchi tajiri kama kama tanzania halafu tuone hao kina Kagame watafanya nini na wataenda wapi
 
Jk taifa hili ni kubwa sana na linahitaji uongozi wako kusonga mbele zaidi hao wasikusumbue wamejaa ukabila.
 
Back
Top Bottom