BBA jumba la ngono, uzinzi na ulevi.

Buji, waache vijana wale raha.
Bondeni wapelekwa bure, pombe bure, vitanda bure.
Ahh let them enjoy life to the fullest
 
daaaah kama yule Bhoke kashindiliwa kitu kudadadeki ataka anajipindya tu kama samaki kanasa kwenye ndoano ......na ile ni kavu live yaani asijidai sijui safe sex hakuna ilikuwa kavu...yaani wadada wanauza timu kirahisi sana
 
mwingine jana kaomba kondom wawekewe kondom kwenye mabafu lotus ili wapewe doz vzur
 
Hi ndio dunia ya dot. com mzee unashangaa nini ,itafika mahali hata huku bongo mambo yatakuwa hivyo hivyo
 
yalianza uk,yakadoda....wakaiacha naona africa ndio imeshika kasi labda na yenyewe itafika mahali itachosha na kufa....
 
kwa kweli hakuna program inayonisikitisha kama hiyo ya big-braza...!na sielewi kwanin inapewa publicity kubwa kiasi kile

wakati huo huo kuna tetesi kwamba mikanda mingi ya ngono inarekodiwa mule ndani
 
pale ni full maigizo, it is not what they are, people are so fake, they are doing it for camera...mimi nimeacha kuangalia sioni kipya
 
Kama wewe pombe hupendi muziki hupendi, kubinjuana hupendi basi huna sababu ya kuishi

hoja ya msingi. mara nyingi najiuliza really iitwayo kufurahia maisha ni nini? kupombeka, 'kubinjuana', muziki nk. so suppose unakuwa navyo vyote hivi ndo kusema utakuwa unafurahia maisha? hii dhana ya kufurahia maisha huwa inanikwaza sana na labda kujiona sio kwenye channel ya kuyafurahia haya maisha ya duniani.
 
umepewa ruhusa kuangalia BBA? na huku unafuata nn? ukiachwa tena usirudi hapa,ohooo! we dont serve dinner ujue!
Kila mwaka matukio yanayojiri kwenye jumba hilo ni ngono zembe, uzinzi na ulevi.
Zaidi ya hayo BBA ina mpya gani?
 
yalianza uk,yakadoda....wakaiacha naona africa ndio imeshika kasi labda na yenyewe itafika mahali itachosha na kufa....

Hivi UK hakuna tena BIG Bradha, mbona nakumbuka muda si mrefu sana ilikuwa kwenye screen huko? naomba nijuze mamaa..
 
Ngono si ndo uzinzi/uasherati? Sasa tangu lini uzinzi/uasherati ukawepo zembe na isiyo zembe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom