BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
The problem with Munya thought the game was all his na ndio maana mshindi alipotangazwa he went mum and he didn't believe, but kwenye kura naamini uchakachuaji umefanyika naweza kusema another reason wamempa UTIit because of the death of his father kweli hela mwanaharamu maana alipewa option ya kwenda kumzika baba yake au abaki ndani jamaa akaamua kubaki.

hili liwe fundisho ukifiwa na babako ama mamako usikurpuke kuzika kuna favour na hiyo imemfanya uti ana smile..bg up br maisha kila sehemu
 
graph_Final_Art.jpg

Last week you voted to select your winner from the five All Stars finalists: Lerato, Munya, Mwisho, Sheila and Uti. This graph shows that Lerato, Mwisho and Sheila had zero country votes, while Uti had eight, and Munya had seven.

Uti was the most popular Housemate with eight countries voting to save him, while Munya had seven countries voting to save him.

Evicted

Therefore, because they each received no country votes, Sheila was evicted first, followed by Mwisho and then Lerato.

Uti

The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Ghana, Kenya, Mozambique, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Malawi, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.
 
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA unbelievable i started smelling something fishy with these polls you just cannot tell me we did not vote for our boy Mwisho and instead we choose to vote for Munya this is utterly ridiculous, wamechakachua kura
 
graph_Final_Art.jpg

Last week you voted to select your winner from the five All Stars finalists: Lerato, Munya, Mwisho, Sheila and Uti. This graph shows that Lerato, Mwisho and Sheila had zero country votes, while Uti had eight, and Munya had seven.

Uti was the most popular Housemate with eight countries voting to save him, while Munya had seven countries voting to save him.

Evicted

Therefore, because they each received no country votes, Sheila was evicted first, followed by Mwisho and then Lerato.

Uti

The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Ghana, Kenya, Mozambique, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Malawi, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.

WIZIII MTUPU....Nimesitisha rasmi kuangalia hizi prg za magumashi! duh nakupiga kwangu kura kote kule kumbe GUMASHI tupu
 
Nahisi Uti atakuwa Free masonry! Munya hawezi akawa Free masonry kabisa na ndo maana wamechakachua KURA! Mwisho sidhani kama ni Mfree Masonry!
 
...Wanaija bana wako wengi sana na walikuwa kwenye muamko wa mchezo huu...Ila dah yaani sie hatukumpigia mwisho?!! hapo ndo napata mashaka na Hawa alexender forbes next time wakileta michezo yao ya kuvote ni bora iwe inatumika simu tu mana ndo uthibitisho wa mtu atokapo..sio kura za kwenye internet.Sijui ndoa ya Mwisho ndo itakuwa imefikia ukomo baada ya kukosa mpunga?!! au vikao vya harusi ndo vitaanza?!
 
BBA_300x244.jpg

BIG BROTHER AFRICA IS BACK

IF YOU THOUGHT YOU HAD SEEN THE LAST BIG BROTHER AFRICA - AND THERE ARE MANY OF US - YOU WERE WRONG AS M-NET HAS JUST ANNOUNCED THE COMMENCEMENT OF THE SEARCH FOR NEW HOUSEMATES FOR BIG BROTHER 6. APPLICATIONS CLOSE ON 27TH FEBRUARY 2011.
 
Keil, Senator, Invisible, Mlachake, Ogah nadhani tutakuwa pamoja

Ngoja tuone mchakato utakavyokuwa maana addiction nazo mbaya kweli...especially u anapokuwa huna cha kuangalia kwenye tv zetu
Kama show itakuwa impressive tutakuwa pamojah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom