BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Hata mimi simkumbuki jane, sio BBA II huwa siwakumbuki vizuri washiriki wa ile BBA sikuifuatilia sana. Ningefurahi kumuona Warona kutoka Botswana (BBAI),
 
ha ha ha Invisible nakumbuka koment yako juu ya hiki kifaa mwaka jana, lazima wamekukuna sana kukuletea tena huyu mtoto ndani ya nyumba. Huyu sio yule alilia usiku kucha akaamua kujitoa??
 
Hata mimi simkumbuki jane, sio BBA II huwa siwakumbuki vizuri washiriki wa ile BBA sikuifuatilia sana. Ningefurahi kumuona Warona kutoka Botswana (BBAI),
Alikuwa kwenye season iliyopia bana... Ni mmoja wa wale niliowapenda sana, bahati mbaya ALIONDOKA bila kuwa nominated (kama mna kumbukumbu)...
 
ha ha ha Invisible nakumbuka koment yako juu ya hiki kifaa mwaka jana, lazima wamekukuna sana kukuletea tena huyu mtoto ndani ya nyumba. Huyu sio yule alilia usiku kucha akaamua kujitoa??
Ha ha ha ha... Itabidi niende SA this time...
 
jen_graf_lg.jpg

Mkuu huyu ndiye Jennifer...

Sheila ameingia sasa, anaiwakilisha Kenya. Jennifer anaiwakilisha Mozambique

Huyo Jennifer si alitoka mwaka jana kwa mkwara wa baba mzazi? I hope mwaka huu hakutakuwa na hiyo early exit kwa lazimishwa na mambo ya kifamilia.
 
Hapo tayari Sammy na mwisho watakuwa na company, alafu Sheila na Munya ni intake moja? hawa si ndio? nahisi tutaona alliance za kufuatana na intake yaani wale wa BBA I, II, nk
 
Hapo tayari Sammy na mwisho watakuwa na company, alafu Sheila na Munya ni intake moja? hawa si ndio? nahisi tutaona alliance za kufuatana na intake yaani wale wa BBA I, II, nk

Sheila na Munya ni intake moja (wote walikuwa BBA III) na wote wavutaji wa sigara, so hapo naona kampani nyingine.
 
Huyu ni kichaa, na alisha-admit kwamba alishawahi kuvuta weed. But ana kelele sana. Naona mwaka huu kunaweza kuwa na wavutaji sigara wengi sana.
Wavuta sigara na walevi wamekutana ha ha ha! Weed pia naona wapo wakamataji (Kaone mmojawapo?)
 
Wavuta sigara na walevi wamekutana ha ha ha! Weed pia naona wapo wakamataji (Kaone mmojawapo?)

Sina hakika kama Kaone anakamata. Lakini kwa list hiyo, mwaka huu kunaweza kuwa na scarcity ya kilevi humo ndani na ule mchezo wa Mwisho kupicha beer na kuvuta majani ya chai kama sigara, utakuwa common. Chakula kinaweza kuwa bidhaa adimu kwa kuwa watu watakuwa wana order zaidi pombe na sigara na kusahau chakula.
 
Now, Uti representing Nigeria becomes the 11th housemate to enter the house

Ninampenda huyu jamaa, sijui watamletea demu wake? Alimpenda Lucille kutoka Namibia, badala ya kumwambia wakiwa ndani ya Jumba akaishia kugombana nae mpaka msichana akawa analia ile mbaya. Siku Lucille anatoka ndipo akaja ku-admit kutokana na reaction yake. Fingers crossed, sijui Lucille atakuwepo ndani ya nyumba?
 
Lerato for South Africa, she becomes the 12th housemate to enter the house... Only two left! You can bet who will come to represent Uganda? :pound:
 
Uti alipotolewa ule mwaka wanigeria hawakuridhika na walilamikia sana kuwa kura zilikaa kiSADC zaidi. SA wamleta nani?
 
Mwenyewe nilikuwa nawazia hapa... Akirejea kaazi kwelikweli... Maureen je? Si mchezo... Ila nahisi Hannington anakuja!
Gaitano atakuwa mzee sasa kwa michezo hii na pia kuwa presenter wa moja ya channel za Mnet sidhani kama itapendeza kumleta tena ndani ya nyumba, mwaka ule alikuwa tayari 32 nadhani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom