Bavicha yatoa Tamko kuhusu Wanafunzi waliyofukuzwa vyuo vikuu

nyie bavicha sijui basata,acheni Uchoche zi.mtu mwny akili timamU hawezi kuunga mkono huu upupu.nyie ni njaa tu inawasumbua.kawateteeni kwanza madiwani watano arusha walionyanyaswa,kuonewa na hatimaye kubakwa haki yao ya kikatiba ya kushiriki siasa na kuleta maendeleo apa nchini.kilichotokea kwa wanafunzi han
 
kilichotokea kwa wanafunzi hawa ni sawa na kile kilichotokea kwa madiwani wa5 arusha.sheria zifuatwe.na nyie mnaohamasiSha migomo vyuoni dawa yenu ipo jikoni.
 
bavicha ni sawa na mbwa wa mwny nyumba tu kelele nyng hana pa kwenda kula anamfurahisha mfugaji.
 
kilichotokea kwa wanafunzi hawa ni sawa na kile kilichotokea kwa madiwani wa5 arusha.sheria zifuatwe.na nyie mnaohamasiSha migomo vyuoni dawa yenu ipo jikoni.

Unatakiwa kupimwa akili wewe. Madiwani walikua wanadai mikopo? Madiwani walikua wanadai wenzao wapi warudishwe waliokua wamefukuzwa. Unaleta comparizoni ya Mbingu na Ardhi hapa?

Kwa swala la wanaoleta migomo vyuoni na kua dawa yao iko jikoni nakuunga mkono. Kwani hata mie nauona mwisho wa serikali ya CCM inyowanyima wanafunzi mikopo na pia kuchelewesha kwa wale wanaostahili kuipata.
 
hivi wale madent wa udom walohamasishwa kugoma kisha jamaa walowachochea wakazima sim wako wapi?
 
nyie bavicha sijui basata,acheni Uchoche zi.mtu mwny akili timamU hawezi kuunga mkono huu upupu.nyie ni njaa tu inawasumbua.kawateteeni kwanza madiwani watano arusha walionyanyaswa,kuonewa na hatimaye kubakwa haki yao ya kikatiba ya kushiriki siasa na kuleta maendeleo apa nchini.kilichotokea kwa wanafunzi han

Chalii mbona unaendeshwa kwa vionjo. Kawaambie masaburi wenzako wakukochi vizuri ndo uje hapa kutema upupu wako vizuri. Jaribu kuushirikisha ubongo wako tofauti na tumbo lako unapoingia hapa.
 
Serikali za Africa wanatumia vitisho kuwafanya wananchi wasihoji maswali magumu. Lakini hili siku moja litafikia mwisho pale wananchi watakaposema yatosha kama kwingineko Duniani wanavyofanya. Serikali kuweni makini sana na maamuzi munayoyachukua. Mambo mengine hayahitaji kutumia nguvu sana. Nakumbuka enzi za Prof Mkude alipokua CADO akina Zito walimtukana on his face lakini alikuwa mpole na kuhakikisha anatatua matatizo ya wanafunzi na chuo kilikua kilienda vizuri. Siku hizi masilahi ya watawala yamewekwa mstari wa mbele. Hakika hatutafika
 
Prof Mkude alikiua a free and unentereferd leader asiyekua na maslai na chama cha mapinduzi. Hakuitaji kujikomba komba kwa watawala ili akimaliza muda wake apewe post serikalini.

Lakini hivi sasa, makada ndio wanaoteuliwa kuendesha vyuo ili kulinda maslai ya chama na pia watu wasiojua value ya wao kuwa maintelectuals kama Mukandala anayesubiri kuteuliwa kuwa balozi wa Italy akimaliza muda wake.
 
Unatakiwa kupimwa akili wewe. Madiwani walikua wanadai mikopo? Madiwani walikua wanadai wenzao wapi warudishwe waliokua wamefukuzwa. Unaleta comparizoni ya Mbingu na Ardhi hapa?

Kwa swala la wanaoleta migomo vyuoni na kua dawa yao iko jikoni nakuunga mkono. Kwani hata mie nauona mwisho wa serikali ya CCM inyowanyima wanafunzi mikopo na pia kuchelewesha kwa wale wanaostahili kuipata.
wewe ndio unatakiwa upelekwe mirembe haraka.serikali imeongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuo vikuu kutoka ef 15 hadi laki moja kwa mwaka leo.unataka ikuletee ugali kwenu?acha uvivu wa kutafakari ww.msitake kutengeneza taifa la walalamikaji apa.
 
Chalii mbona unaendeshwa kwa vionjo. Kawaambie masaburi wenzako wakukochi vizuri ndo uje hapa kutema upupu wako vizuri. Jaribu kuushirikisha ubongo wako tofauti na tumbo lako unapoingia hapa.

huna sera wewe peleka masaburi yako Sokoni yakasuguliwe uko.kajipange upya ndo ujibizane na mimi baba yako apa.ukikua najua utaacha ungeSe wako huo
 
Thnx sana BAVICHA, hii ya wanafunzi kufukuzwa imeniuma sana, alafu tunahadhisha eti miaka hamsini ya uhuru!!! uhuru gani huu? uhuru wa nani? uhuru wa watanzania? Wezi wa EPA, Richmond, Dowans, Meremeta, Kagoda wapo wapi?
Mimi nafikiri ni uhuru kwa Mafisadi wote, C.C.M na watoto wao kina Rtz1, Nape, Shigela, Malisa.
Sio uhuru wa watanzania huu, uhuru wetu tunausubili kwa hamu siku ikifika, na ipo karibu yaja.
Muchembe uhuru wala si mbali ni hapooo 2015. ni pale tutakapo panda bus letu la T2015CDM
 
huna sera wewe peleka masaburi yako Sokoni yakasuguliwe uko.kajipange upya ndo ujibizane na mimi baba yako apa.ukikua najua utaacha ungeSe wako huo

Yaani we ni pimbi uliyepitiliza, ni infact nimeshakujua ni wangese wale wale wa magamba. Unapaswa uwalaumu magamba wenzako kwa kukufanya uwe kama ulivyo
 
nimekwambia huna hadh ya kujibizana na baba yako.kwanza umekula wewe?
 
wewe ndio unatakiwa upelekwe mirembe haraka.serikali imeongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa vyuo vikuu kutoka ef 15 hadi laki moja kwa mwaka leo.unataka ikuletee ugali kwenu?acha uvivu wa kutafakari ww.msitake kutengeneza taifa la walalamikaji apa.

Hivi na wewe ni mfuasi wa statementi za kikuda kama hizo kwenye red. Magamba mko na kazi kweli! You should be mentally liberated you pimbi. Nyie ndo wale mnaolipwa na magamba kuja kutetea uozo hapa JF. Infact ni vigumu kuargue na mwenye njaa anayetumia tumbo kufikiri. Nyie mnaitaji kufanyiwa kama wale wachina wasaliti walivyokuwa wakifanyiwa na Mao Tsetung kule China baada ya mapinduzi ya kiutamaduni. (rounding of traitors)
 
Back
Top Bottom