BAVICHA yajitanua kimataifa

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge la nchi hiyo.

sijajua nini alichokua anawasilisha na hiyo ilikua ni jana.

Nawapongeza viongozi wa Bavicha ila challenge ni kwamba mkumbuke mna kazi kubwa hapa nyumbani ya kuwafanyia vijana.

397988_296151143764324_100001083210786_792605_976519363_n.jpg

Huyo ndiyo Munishi katibu mkuu wa BAVICHA akiwa nafanya vitu vyake uko Sydney. UVCCM mpooooooo?
 
Kuwa ulaya sio njia ya kutatua matatizo ya ajira kwa Vijana,Wajaribu kuwaunganisha vijana Nchini tyr kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo
 
Munishi ndio nani tena huyo mbona si mfahamu?...halafu mnaposema BAVICHA mnamaanisha nini BARAZA LA VICHAA WA CHAGGA au mnamaanisha nini. Tuambiane bana wengine ni wageni hapa.
 
End of thinking Capacity. Kwa CCM wewe ndio intellectual, great thinker, kisima cha maarifa, policy analyst na mshauri wa Chama. Kwa mtaji huu kufika 2015 tutakuwa tumeangamia
 
Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...
 
Na mtesema yote... Vipi yale maupuuzi yenu na maugomvi uvccm yameishaga??? Sisi cdm ni kazi tu...
Munishi ndio nani tena huyo mbona si mfahamu?...halafu mnaposema BAVICHA mnamaanisha nini BARAZA LA VICHAA WA CHAGGA au mnamaanisha nini. Tuambiane bana wengine ni wageni hapa.
 
Kuwa ulaya sio njia ya kutatua matatizo ya ajira kwa Vijana,Wajaribu kuwaunganisha vijana Nchini tyr kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo

mkuu AUSTRALIA siyo ulaya. Nenda shule, bado hujachelewa
 
Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...
Kwanini unasema Munishi ndio takataka gani? Hivyo ndivyo mnavyjifunza huko kambini kwenu kwenye Umoja wa Viwavi wa CCM? Mimi nikiuliza Mkukutwa ndio takataka gani utajibu nini? Sasa matusi yanatoka wapi? Hunijui, sikujui so matusi hayaniumizi hata kidogo. Kwamba hujui Bavicha ni kitu gani hilo ni tatizo lako unless uwe ndio unajifunza siasa leo hii. Wenzio kina Malisa, Shigela, Nape, Masauni, Bashe na wengineo wanajua nini Maana ya Bavicha. Pole sana ndugu yangu maana umedhirisha namna ulivyo debe tupu.... zaidi ya mifupa hakuna kitu kingine kichwani mwako zaidi ya matusi.......
 
Sometimes hapa ndipo CHADEMA mnapokosea. Ilikuwa ziara binafsi? Kwa kuwa yupo ndani ya vazi rasmi la chama sidhani kama ni shughuli binafsi. Kama ndivyo, kwa nini taarifa haikutolewa kwa umma mapema? Sijui hili linaangukia kwa nani but I think itakuwa Kurugenzi ya Mambo ya Nje au Habari na Uenezi. There must be a problem somewhere regarding information dissemination to the public.

Haiingii akilini kwa mtu mzito kama Katibu Mkuu BAVICHA kupasua anga lote all the way to Australia halafu wahusika wamekaa kimya tu, umma haujui lolote hadi mmoja wetu (mwanJF) just by chance akutane na taarifa FaceBook na kutumegea hapa.

Kwenye discussion Kipima Joto ITV jana Mh. Mnyika alituhakikishia kwamba falsafa ya CHDEMA ni "Nguvu ya UMMA" kama ndivyo basi "Taarifa kwa UMMA" ni jambo la msingi na muhimu na itolewe kwa wakati. Usitegemee umma uku-support bila kuupa taarifa.

JITOFAUTISHENI NA WENGINE.
 
Kiukwel nanyi mmezid mbwembe kwenda Australia ni ajabu sana kwa BAVICHA,nimeamin ule msemo wa wahenga LIMBUKEN HANA SIR
 
Kwanini unasema Munishi ndio takataka gani? Hivyo ndivyo mnavyjifunza huko kambini kwenu kwenye Umoja wa Viwavi wa CCM? Mimi nikiuliza Mkukutwa ndio takataka gani utajibu nini? Sasa matusi yanatoka wapi? Hunijui, sikujui so matusi hayaniumizi hata kidogo. Kwamba hujui Bavicha ni kitu gani hilo ni tatizo lako unless uwe ndio unajifunza siasa leo hii. Wenzio kina Malisa, Shigela, Nape, Masauni, Bashe na wengineo wanajua nini Maana ya Bavicha. Pole sana ndugu yangu maana umedhirisha namna ulivyo debe tupu.... zaidi ya mifupa hakuna kitu kingine kichwani mwako zaidi ya matusi.......

Mkuu you're wasting your time kujibizana na takataka.
 
Yethu wangu. Naona unaendelea kujimbia mdomoni tu. Hivi unadhani kila mtu humu ndani ni mwana chadema ama mwana ccm?...huyo aliyewadanganya kuwa ukibanwa kwa hoja usingizie uccm amewararua kisawa sawa...tena usijaribu kuropoka ropoka. Nimeuliza kuhusu munishi ni nani na bavicha ni nini sasa nakushangaa wewe umenivamia, au wewe ni mrs munishi?...au wewe ni nyumba ndogo yake?...jaribu kujibu hoja acha porojo hizo kama umedondokea pua sema mrs munishi..
 
Na mtesema yote... Vipi yale maupuuzi yenu na maugomvi uvccm yameishaga??? Sisi cdm ni kazi tu...
Hicho sasa ni kihere here,. Wewe sio hata mwana CDM na inawezekana hata haujui CDM ni nini...waulize watu wa arusha wanaijua CDM vizuri na mbowe wake pale alipowaandamanisha watu mpaka NMC wakakeshe yeye akaenda zake kulala na Joyce Mukya...hahahaha hao ndio wenye CDM bana wewe yako ni karai tu...
 
Sometimes hapa ndipo CHADEMA mnapokosea. Ilikuwa ziara binafsi? Kwa kuwa yupo ndani ya vazi rasmi la chama sidhani kama ni shughuli binafsi. Kama ndivyo, kwa nini taarifa haikutolewa kwa umma mapema? Sijui hili linaangukia kwa nani but I think itakuwa Kurugenzi ya Mambo ya Nje au Habari na Uenezi. There must be a problem somewhere regarding information dissemination to the public.

Haiingii akilini kwa mtu mzito kama Katibu Mkuu BAVICHA kupasua anga lote all the way to Australia halafu wahusika wamekaa kimya tu, umma haujui lolote hadi mmoja wetu (mwanJF) just by chance akutane na taarifa FaceBook na kutumegea hapa.

Kwenye discussion Kipima Joto ITV jana Mh. Mnyika alituhakikishia kwamba falsafa ya CHDEMA ni "Nguvu ya UMMA" kama ndivyo basi "Taarifa kwa UMMA" ni jambo la msingi na muhimu na itolewe kwa wakati. Usitegemee umma uku-support bila kuupa taarifa.

JITOFAUTISHENI NA WENGINE.
Kweli kaka...labda tu haujui, munishi ameeenda australia kuwashawishi vijana wajiunge na CDM, si hata heche aivyoteuliwa tu kuwa mwenyekiti alienda ujerumani, sasa na yeye ameenda huko kuosha nyota kama bosi wake, ameshindwa kufika mlandizi kuhamasisha watu wajiunge na chama yeye kaenda kusafisha nyota kwanza..kaaazi kweli kweli...
 
Back
Top Bottom