BAVICHA mwenyeji mkutano wa kimataifa wa vijana Africa

Kwa ufupi mi nishaanza kupoteza imani kwa kasi na style ya huu uwongozi wa bavicha. Chadema ni vijana kwa sehemu kubwa ila bado sijaona mkakati wowote makini wa hawa kina Heche kutuunganisha vijana tuchukue nchi 2015. Naona kina Heche wamelala tu ka UVCCM..........

Ndo kwanza wamekamilisha uongozi wa kitaifa juzi kati hapo. Sasa wewe ulitaka mikakati ya mtu mmoja? Hapa tunaangalia mkutano wao wa kimataifa wewe unalialia tu.
 
Uvccm pia waalikwe kwenye hicho kikao.

Hawana viwango vya kuhudhuria mkutano huu kwani wao hufikiri kwa masaburi siku zote. Kwa masaburi yao wataunajisi mkutano huo kama wakialikwa. Hawakidhi viwango kwa kweli.
 
Tuna wakaribisha sana CDM, CDM ni chama cha watanzania wote, kuna waisalam, wakristu, ata wapagani umu, kuna wamasai, wahaya, wabalbeigi, masukuma n.k mu manake hiki si chama cha kikabila wala cha kidini, zingatieni kanuni pia katiba ya CDM, karibuni sana tuijenge Tanzania yetu iliyo hoi kwa kufisadiwa, kufilisiwa, kudumazwa, kufukalishwa pia kuibiwa kwa rasilimali zake, leo CCM hawawezi kuwashikisha adabu mafisadi (Magamba) kwani chama (CCM) kimekuwa kikinawilishwa na matunda ya ufisadi, Real freedom is comming is also just around the corner. Munu ibariki Tanzania. amen
Rekebisha neno masukuma = Wasukuma, unatukosea kutuita masukuma. Hata Mungu unaandika Munu. Vinginevyo, tuko pamoja mkuu mapambano yanaendelea.
 
UVCCM yote ipo Dodoma haina mawazo kama ya Bavicha. Big up sana CDM na BAVICHA kwa ujumla

Tuacheni tunajivua gamba kwasasa....tukimaliza tutaanza kufikiria ya maana baadae,ngoja tumtetee EL kwanza hapa Dodoma..ha ha ha ha ha ha ha ha h!!!! UVCCM bwana mavi matupu...
 
Zile stori za intelijinsia kuzuia mikutano ya watu kwa sababu za kijinga za Al Shabab hazipo tena? Au kuna temporary treaty kati ya polisi na Al Shabab this and next weeks!!
 
Back
Top Bottom