Bavicha imekufa?..

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wakuu habari?..
Sina hakika kama bavicha imekufa au ndo viongozi wake hawajui majukumu yao?..
Kwa yeyote mwenye kuyafahamu majukumu hayo naomba awajuze wenzetu hawa..
 
Mkuu wangu (BAVICHA) ipo kwa sasa hivi majukumu yake makubwa ni kutoa Matamko.

Taingia Heche achaguliwe kaishatoa matamko zaidi ya 200, hakuna kitu zaidi ya kushinda kavaa magwanda tu
 
Kwa ujumla wenu mpo kama kunguru.Mnasubiri kuuwawa na nyie wote ni kero kila kona.UVccm miaka 50 mmefanya nini?
 
BAVICHA ikifa basi kaburi la Uvccm litakuwa linafutika kabisa juu ya uso wa dunia na kuzama kabisa kuzimu
 
Mbavu zang jmn
Mkuu wangu (BAVICHA) ipo kwa sasa hivi majukumu yake makubwa ni kutoa Matamko.

Taingia Heche achaguliwe kaishatoa matamko zaidi ya 200, hakuna kitu zaidi ya kushinda kavaa magwanda tu
 
Uvccm kazi yake ni nini'?ama kazi yao ni hii moja tuu wanayotekeleza sasa kwa kwenye Chaguzi jina la Uvccm huwa Green Guard
 
Mkuu wangu (BAVICHA) ipo kwa sasa hivi majukumu yake makubwa ni kutoa Matamko.

Taingia Heche achaguliwe kaishatoa matamko zaidi ya 200, hakuna kitu zaidi ya kushinda kavaa magwanda tu

wewe heche mwanaume yule.. Sio wewe lz1 mwanaume suruali na we ngoja utakmbia hii nchi we dhan c mafala kama unavyofkiria.... We kijana gani unachangia ku2kandamiza vijana wenzio? We wadhan bavicha ni uvccm. Iga maisha ya mdogo ako miraj wewe co kujifanya wajua siasa angalia watoto wa wasomi walivyocul we kila cku kelele hv mkeo huwa hakushaur. Yan 2015. Utakulia muhogo we mjnga.
 
Pro-CDM JF, ebu fanyane Donation kila mmoja wenu at least atoe mia tano (500). mmtafutieni nyumba Heche.

Ni aibu kiongozi wa BAVICHA kuendelea kuishi kwa kaka yake pale Sinza Mori.
Kaka yake hawezi kumuambia analalamikia pembeni ni mzigo kwa kweli
 
nawe kwa kupenda malumbano tu haujambo
 
Pro-CDM JF, ebu fanyane Donation kila mmoja wenu at least atoe mia tano (500). mmtafutieni nyumba Heche.
Ni aibu kiongozi wa BAVICHA kuendelea kuishi kwa kaka yake pale Sinza Mori.
Kaka yake hawezi kumuambia analalamikia pembeni ni mzigo kwa kweli
Sisi ni vijana masikini hatuna wazazi wanasiasa wanaoturithisha madaraka na ufisadi so atajengaje wakati ardhi zote mnamiliki nyie. Hebu mpatie mauzo ya wiki 1 kutoka pale BigBon au kwenye malori yako ya mafuta uone kama hata jenga.
 
Pro-CDM JF, ebu fanyane Donation kila mmoja wenu at least atoe mia tano (500). mmtafutieni nyumba Heche.

Ni aibu kiongozi wa BAVICHA kuendelea kuishi kwa kaka yake pale Sinza Mori.
Kaka yake hawezi kumuambia analalamikia pembeni ni mzigo kwa kweli

mnafiki wa jf..!
 
Wakuu habari?..
Sina hakika kama bavicha imekufa au ndo viongozi wake hawajui majukumu yao?..
Kwa yeyote mwenye kuyafahamu majukumu hayo naomba awajuze wenzetu hawa..
Kwani ni majukumu gani ambayo hawajatekeleza mpaka ukafikia kutoa thread kama hii? Kuna kipindi ukitoa post inabidi iwe na nyama kidigo kuliko kuwapa watu kazi kama zilivyo tetesi. Acha uvivu wa kufikiri, hujaanisha nini majukumu yao, wameshindwa kutekeleza yepi jambo ambalo lingelonyesha weakness zao!
 
Pro-eCDM JF, ebu fanyane Donation kila mmoja wenu at least atoe mia tano (500). mmtafutieni nyumba Heche.

Ni aibu kiongozi wa BAVICHA kuendelea kuishi kwa kaka yake pale Sinza Mori.
Kaka yake hawezi kumuambia analalamikia pembeni ni mzigo kwa kweli
Hayo ni maisha binafsi sana na wala wewe si kaka yake! Mbona mawaziri wameishi mahotelini zaidi ya miezi sita lakini hujaliona hilo mpaka la BAVICHA?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom