Bavicha hiyooooooooo

Kinondoni kwenu? umeonyesha utoto wa hali ya juu, nyie ndio matapeli mnaowauzia watu mskiti kwa kudanganya ni nyumba ya urithi.
Mambo ya misikiti hapa yanatoka wapi? Au utafurahi nikiziita hizo ofisi zenu makanisa...
 
Huko ndiko wankoishi walalahoi waliokwapuliwa kila kitu na CCM hivyo kuhitaji chombo kama BAVICHA kuweka ofisi katikati yao, kuishi nao katika raha na shida, na kuwatetea vilivyo.

Hakuna haja kuwa na ofisi kuuubwa katika mitaa ya Wahindi kule Upanga, ofisi za UVCCM, wakati wao wala hakuna anayewakwapulia chochote kile katika maisha haya.

Rejao, hoja ya pili Mkuu...?

Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
 
Huko ndiko wankoishi walalahoi waliokwapuliwa kila kitu na CCM hivyo kuhitaji chombo kama BAVICHA kuweka ofisi katikati yao, kuishi nao katika raha na shida, na kuwatetea vilivyo.

Hakuna haja kuwa na ofisi kuuubwa katika mitaa ya Wahindi kule Upanga, ofisi za UVCCM, wakati wao wala hakuna anayewakwapulia chochote kile katika maisha haya.

Rejao, hoja ya pili Mkuu...?
Tunatambua kuwa makao makuu ya CDM yapo Kinondoni. Kama chama makini, na kinachotaka kuwa karibu na wanachama na wananchi wengi zaidi na kupanuka, hawa BAVICHA hawakuwa na sababu ya kujikita Kinondoni tena. Wangeenda maeneo mengine kama ya Ilala au Temeke, kuleta mwamko wa vijana wa kule ili angalao wakiona Ofisi watambue kuwa TZ kuna chama kinachoitwa CDM.

Jifunzeni kwa CCM kwa kuwa na Tawi na shina kila mahali.
 
Umewachoka wewe na nani.... mkeo??

Rajeo amechomekea ili awatoe watu nje ya mada!fanyeni kama hamjaiona hoja yake vile,mpiteni juu kwa juu!pongezi mingi kwa BAVICHA,ila CDM mbona mnashambulia sehemu chache sana za nchi na tena mnachagua mijin??Morogoro vijana wana hamu sana ya kupata darasa kuhusu mabadiliko ya kweli kupitia chama dume
 
Hapo kwenye wino wa DAMU YA MZEE, jamani tusipuuze kila kitu tu eti ni kwa sababu tu ni Rejao, Ritz au yule Mama FF ndio kasema.

Mhe Heche, Mushi na viongozi wengine BAVICHA, wenzangu nimeona hoja yenye mashiko kwa huyu mtani wetu Rejao na kunifanya nimpe Tano hapo juu (yaani 'LIKE').

Mwee, tutafakari hii hoja ya Rejao jamani eeehh!!!!!!!!

Tunatambua kuwa makao makuu ya CDM yapo Kinondoni. Kama chama makini, na kinachotaka kuwa karibu na wanachama na wananchi wengi zaidi na kupanuka, hawa BAVICHA hawakuwa na sababu ya kujikita Kinondoni tena.

Wangeenda maeneo mengine kama ya Ilala au Temeke, kuleta mwamko wa vijana wa kule ili angalao wakiona Ofisi watambue kuwa TZ kuna chama kinachoitwa CDM.

Jifunzeni kwa CCM kwa kuwa na Tawi na shina kila mahali.
 
Wana-JF naomba samahani sana kwa niamba ya Mirembe Hospital kwa hili.

Huyu kijana OMR ni kati ya wagonjwa watatu waliotoroka kwenye Rehabilitation (yaani programu maalum ya kuhudumiwa kitaalam ili akili zirejee kama zamani kwa kawaida yake) hivyo kwa usumbufu wowote mtakaouona kama hiyo sentensi hapo chini wenzetu tujifanye kama hatujaiona vile.

BAVICHA hongereni sana kwa kiwango hicho cha maendeleo makubwa ndani ya kipindi kifupi ila tu changamoto ya Rejao tukaifanyie kazi kikweli kweli.

ofisi za chama au jobless corner?
 
Na hao wengine wawili ni Lema na Heche
 
Hapo kwenye wino wa DAMU YA MZEE, jamani tusipuuze kila kitu tu eti ni kwa sababu tu ni Rejao, Ritz au yule Mama FF ndio kasema.

Mhe Heche, Mushi na viongozi wengine BAVICHA, wenzangu nimeona hoja yenye mashiko kwa huyu mtani wetu Rejao na kunifanya nimpe Tano hapo juu (yaani 'LIKE').

Mwee, tutafakari hii hoja ya Rejao jamani eeehh!!!!!!!!

Mbona BAVICHA hakuna mtu anaitwa MUSHI au ulikua unamaanisha MUNISHI?

Kimsingi usimtete huyo Rejeao na wengine. Kumbukeni hawa ni vijana.

Wanaweza kuwa sehemu yoyote ikiwemo huko kinondoni walikofungua ofisi zao.

Kama ni swala la kuona tu ofisi ya CDM wanaweza kuiona hata ofisi za jimbo.

Hongereni Heche na Munishi kwa hatua yenu nzuri
 
Back
Top Bottom