BAVICHA Arusha yazidi kujizatiti

Nyie watu mnatuchefua kwa matusi yenu, kwani hamna hoja? kama hujui walikozipata hizo hela si ukae kimya? kwani wewe huna mama? huoni kuwa unajipa nuksi kuwatukana mama zetu? Eeeeeee mungu ondoa pepo hili.

sikujua kuwa na wewe ni mpumbavu kiasi kikubwa hivyo. Mko wengi nendeni mkajiloge wenyewe. Chadema tunasonga mbele bila uwoga, ukombozi wa nchi hii hauji kwa ndoto za kipumbavu, bali kwa gharama na jasho la watu wenye utu na uzalendo wa kweli kutoka mioyoni mwao. Chadema tutaandamana, nyie endeleeni kuloga, na Mungu yupo upande wetu, haki haijawahi kushindwa hata siku moja.

Sidhani kama wewe ni mtoto halali wa mzee mwita, hebu muulize mama yako kuwa baba yako ni nani???
Na wewe ukifika nyumbani mwambiae Mzee Mchambuzi mkapime DNA, halafu majibu akachukuwe Mzee Mchambuzi wewe ubaki nyumbani

BAVICHA, si ndio wahuni watupu ndio mnapanga maandamano wa kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha mnasomba watu kutoka Kenya Mungiki mlete fujo si ndio.

Jaribuni kuvunja amani ya nchi yetu muone

Hiyo nchi yenu yenye amani iko wapi? na uko wewe na nani?

BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.
Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu

nchi isha kongolewa na baba zenyu tutajenga nchi gani?

Humu JF kuna MWITA na RITZ nadhani hawa watu huenda akili zao zimefika ukomo wa kufikiri kana hawewezi kufikiri tena,hivi kulikuwa na ubaya gani thread ilipo? kama ukisikia CDM presha inakupanda jua moja tuu presha yako ni ya rasharasha mvua yenyewe bado nadhani hapo utakufa kabisa.VIJANA TUPO KAZINI KUKOMBOA HII NCHI.

Wahuni ni UVCCM hasa Rizi wani,Malisa,Shigela,Nape,Basha/e,Shyrose,Etc.CDM kuna makamanda jasiri wasiongalia sura wala pesa za mtu

BAWACHA, Baraza la vijana Wahuni wa CDM. Hamna kazi za kufanya mnashinda vijiweni tu mnakunywa mbege na viroba vya Count Pushkin.
Huo muda mnaopoteza bure mgekuwa mnafanya kazi mnajenga nchi yenu

Back
Top Bottom