Battery low!

ila inabipi simu iwe katika vibration ndo hii technique itaswihi! La sivyo mlio unaweza mtia shaka especially kama umeweka ringtone ya wimbo wa abdul kiba!
 
Wazo zuri sana hili la cvyo unaumbuka live.
 
Wakorofi wote wenye simu za kichina wekeni kwenye flight mode.Hiyo ni kiboko simu haiiti wala nini.
 
Hii nouma,no outward calls,no inward call yaani simu inageuka bubu,haikwambii kwamba someone is not reachable,error in network connection e.t.c
 
ila inabipi simu iwe katika vibration ndo hii technique itaswihi! La sivyo mlio unaweza mtia shaka especially kama umeweka ringtone ya wimbo wa abdul kiba!
assume...Other factors remain constant.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom