Battery low!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Ili kuepusha varangati na mkewe jamaa aliamua kumsave hawara yake 'battery low' kwenye simu.Siku moja jamaa baada ya kutoka kuoga akamkuta mkewe anaangaika kuiweka simu yake kwenye chaji ikambidi aulize;
mume:wife vipi mbona unaichomeka kwenye chaji simu yangu wakati iko full,imekesha kwenye chaji?!
mke:..hata mie nashangaa imeanza kulia battery low muda mrefu lakini nikiichomeka kwenye chaji ni battery full.
 
Dah! Jamaa ni kifaa. Nimeipenda namna yake ya kuepusha migogoro ndani ya nyumba, safi sana.
 
Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.
 
yaelekea una kaudhoefu mkuu?
 
Shida yote ya nini sasa? Kama kidume kweli save tu jina la nyumba ndogo uone moto wake...lol
 
Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.
we ni professional aiseee.
 
Mamsapu yaonekana hakuwa na mahusiano mazuri na simu za viganjani( ringtone ya battery low na yakupigiwa huwa hazifanani)..ila nimependa ubunifu wa fazahausi
 
Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.

mara wife anapokea cmu na kukwambia cmu hii hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom