Batilda Burian awa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Batilda Burian - Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mwakipesila - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Nazir Karamagi - Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Laurent Masha - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Endeleza list .. ... ...
 
Naamini hili haliwezekani,na kama akikubali basi she must be crazy of the highest order anategemea fadhila au kujipitisha vipi mbele ya waliokubwaga?utawatumikia vipi au ndiyo kulipa kisasi au bid 2015 kwa waarusha hiki hakiwezekani kwanza ndiyo atachafua hali ya hewa kabisa!Bora akae mbali na Arusha.
 
umetumwa na wachochezi kawaambie tunataka kujua chanzo cha taarifa hadi sasa taarifa yako tunaiweka katika kundi la majungu kwanza hadi hapo majina ya mkuu wa mkoa wa Arusha yatakapotangazwa.
 
Batilda Burian - Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mwakipesila - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Nazir Karamagi - Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Laurent Masha - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Endeleza list .. ... ...

Hapo kazi ipo. Akifanya unavyosema basi Mkwere atakuwa kiboko
 
Batilda Burian - Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mwakipesila - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Nazir Karamagi - Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Laurent Masha - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Endeleza list .. ... ...
Na Kamala je atakuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro nadhani
 
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!

Hivi ni sahihi kujadili hisia...............................
 
mponjoli huna hoja ya msingi kusema ati junior member basi hawezi kuwa na hoja au arguement sahihi ua wrong n' u have to apologize to all jf members,mbona wewe unayedhani kuwa ni senior memba umeshindwa kusoma na kuelewa alichosema mtoa hoja baada ya kutoa hoja kwamba "lakini haja confirm" pull up your socks mponjoli.
 
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!

Na wewe nae utasema ni GREAT THINKER kama hata ku confirm umeshindwa ? Jitoe tu humu jamvini
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

JK Yuko Serious....! Yapo mambo mengi yanayokinzana na unachokisema...! Hakiki unachotaka watu waamini kwanza. Fikiria yafuatayo utaelewa:

  • Kitendo cha kuondolewa Samuel Sitta ktk kugombea uspika, JK alikuwa anaongoza jopo lenyewe.
  • Kukubali matokeo ya Urais na Ubunge kwa baadhi ya maeneo kuchakachuliwa na Tume, UWT na makada wa CCM, vyote vipo chini ya JK angeweza kukemea.
  • Kuweka viongozi wa kiserikali ambao sio wafanisi na kuyumbisha uchumi ni jukumu la JK, ila kila mahali panayumba!
  • Kukua kwa vinara wa ufisadi, wanaoishi bila woga ni kutokana na JK kutokuwa na kauli thabiti kwao.
  • Ndiye amemteua Celina Kombani kama waziri wa Sheria na Katiba - aliyesema hakua haja ya Katiba kurekebishwa, then week 3 baadaye waziri wake mkuu na Taifa zima wanasema kubadili Katiba ni jambo jema - lakini JK hajaona tatizo kwa mama Kombani na bado anaona atafaa kuwa waziri ktk wizara aliyopewa??
Je unaposema ypo serious sana - kwa kuteua wakuu wa mikoa, ikiwa ni pamoja na Burian kuwa ataharu au ku-sabotage maendeleo ya mkoa, unawezaje kulinda unachokithamini unapotafakari yaliyosemwa hapo juu??

Tafakari, uelewe...Hatuna Seriousness toka ndani ya CCM...! Tanzania tunahitaji viongozi wanaoona mbali, ambao kwa bahati mbaya hatunao tena ndani ya CCM! Tunasikitika...

Labda kwa sasa CHADEMA itoe dira ya Taifa, ndio tutaweza kuelekea kuliko sahihi...

 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Real??
 
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!

Name : Kizomanizo
Join : Tue Jan 2010
Location : Arusha
Post : 8
Thanks : 0
Thanked 4 Times in 2 posts

Tumia akili na maarifa unapopost thread.
 
Hii inajidhihirisha hawa jamaa walivyo na roho za kiutawala usio na demokrasia mkwere utakumbukwa kwa lipi?
 
Jamani tujue kwamba kuna mambo JK hana maamuzi nayo. kuna watu wenye nguvu wanaendesha serikali hii na wanampangia nini afanye na afanyeje. jiulize kwa nini mafisadi wanapeta wakati wale wanaopambana na ufisadi wanakonda? hiyo ni mojawapo ya namna ya kumdhibiti Godibulesi, ukizingatia mkuu wa mkoa ndiye mlinzi wa amani wa mkoa, kwamba RPC anachukua maagizo kwake!
 
Batilda Burian - Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mwakipesila - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Nazir Karamagi - Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Laurent Masha - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Endeleza list .. ... ...


Monica Mbega - Mkuu wa Mkoa wa Iringa
..............
 
Back
Top Bottom