Elections 2010 Batilda Aibuka toka ICU hadi Mahakamani...

Watu wengine ni viumbe wa ajabu sana! Inawezekana labda alikwenda kwa sangoma, sijui "Sheh Hayahaya Usoni" akaliwa hela, akalala hukohuko na kuhakikishiwa kuwa atashinda! Mambo yamekwenda ndivyo sivyo haamini kilichotokea, anag'ang'ania ameshinda! Mwambieni akafanye shughuli zingine ambazo hufanywa na mama zetu mitaani za kujitafutia kipato ili apate uzoefu kamili wa maisha ya uswazi! huyo aliye mwambia kazi ni ubunge tu alimmaliza kisaikolojia! Akafugue hata genge la mama lishe atapata wateja tena mpaka wa kimataifa hapo A-Town. Mpeni ushauri nasaha!
kama avatar yako
 
ni vyema tu akienda court...
then tutasikia matokeo yake

ivi ni Dr by profesheno?
Ndiyo lakini ukimkuta anaongea utadhani mtu wa la saba...ni bora aende aka-apply hiyo profesheno yake sehemu husika...
 
Zilifunguliwa kesi zaidi ya 124 dhidi ya CCM. Kutokana wingi huo ndio maana wakaweka kiwango cha kinga ya gharama za kesi milioni tano kwa kila mtu unayemshtaki ambao huwa ni watatu yaani, mshindi, msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu. Jumla milioni 15. Wengi hawana hizo pesa na hiyo iliwazuia watu wengi kufungua kesi. Sasa waweze ruhusa ya mahakama kutolipa pesa hizo ambayo nayo ni kesi ndani ya kesi.


Nakumbuka jinsi mwanasheria maarufu na mwanaharakati makini Mr. Julius Ndyanabo (RIP) alivyoamua kuipigania haki hii ya kimsingi pale alipoamua kufungua shauri (kesi) ya kikatiba katika Mahakama Kuu. Na baadae shauri likafikafika mpaka Court of Appeal na kipengele kile kilichokuwa kandamizi na kinachominya haki kikawa declare un-constitutional. Na sheria ile mbovu ikatupiliwa mbali.

Nilikuwa niki mu-admire na kumuheshimu sana Marehemu Julius Nydyanabo kwa uana harakati wake wa kupigania haki za Msingi na Ki-katiba katika jamii. Japo tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi na kuondoka dunia hii mapema wakati ambapo harakati za mageuzi ya kweli nchini Tanzania ndio yamezidi kuwa magumu. Lakini tutafika tu.

FYI - Reference Attached here under;

================

Julius Ishengoma Francis Ndyanabo v. Attorney General
Court of Appeal (Corum: Samatta C.J. Kisanga and Lukagakingira JJA)
Civil Appeal No. 64 of 20

Click the the link below;

Ndyanabo v Attorney General (Civil Appeal No. 64 of 2001) [2002] TZCA 2 (14 February 2002)

Source: http://www.kituochakatiba.co.ug/case7.htm
 
Back
Top Bottom