Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Kwa kujizungusha kuheshimu matakwa ya wapigakura dada yangu amejifuta yeye mwenyewe katika siasa za Arusha ni vyema arudi kwenye NGO ajipange upya.................
 
Good news,,, if confirmed please inform... waiting....:hippie::hippie:
 
Lowassa naye yupo ndani ya jengo la Manispaa.

Tena Lowasa ameingia huku akiwa kwenye gari la tinted, watu wakamshitukia, nasikia hali sio nzuri sana wananchi wanataka haki itendeke else damu itamwagika huko, wenye taarifa zaidi ya tukio nzima arusha tafadhali tujulisheni, maana hata ndugu zetu waliopo huko hawapatikani kwenye simu tunaogopa....
 
Very good Arusha inawezekana kuna wazee wenye busara kuliko wale wa dar es salaam wa Jey key.
Lazima akubali tu. Lbda wangemwacha tuone atafanyaje- kugoma, kuandamana au....
Imekula kwake

Tandika wanapigwa mabom ya machozi live!!! chungulia Cten!
 
Kwa kujizungusha kuheshimu matakwa ya wapigakura dada yangu amejifuta yeye mwenyewe katika siasa za Arusha ni vyema arudi kwenye NGO ajipange upya.................

Ndo kashabwagwa kwenye siasa huyo. ajaribu kugombea udiwani au uenyekiti wa serikali za mitaa term ijayo pengine anaweza akabahatika lakini ubunge asahau.
 
CCM wanachelewesha matokeo ili vurugu zitokee ila wachakachue matokeo
Mpaka sasa Mwanza nako hakuja tolewa matokeo (Ilemela na Nyamagana)
 
Hatimaye kwa msaada wa EL batilda kapewa jimbo kwa 71% tetesi iliyo tokea ndani ila bado hawajatangaza mpka sasa
 
Bado haijatangazwa... Batilda ni kwamba kagoma kusign kushindwa. Lema kashinda ila watu ni wabishi... Ukicheki hapo CCM wilaya watu wanashangilia CCM na hawa subutu kwenda manispaa...
 
CHADEMA 12
CCM wamechukua kata 4
TLP P1100634.JPG 3

Wananchi waandamana wakidai matokeo yatangazwe, nipo eneo la tukio pata picha kamili ya hali jinsi ilivyo.
 
Bado haijatangazwa... Batilda ni kwamba kagoma kusign kushindwa. Lema kashinda ila watu ni wabishi... Ukicheki hapo CCM wilaya watu wanashangilia CCM na hawa subutu kwenda manispaa...

kazi ipo huko arusha jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom