Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bastola kuinunua toka nje ya nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimeo, Mar 13, 2012.

 1. K

  Kimeo Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nisaidieni utaratibu ukoje hadi nitinge nayo dar,maana nipo ugaibuni na nahitaji ninunue moja.maana hizo za Tanganyika arms mh!sio zenyewe wakuu.na pia ipi ni nzuri kwa self defence(kufukuzia vibaka/majambaza) maana malima kanitisha,kama ndo mambo yenyewe hayo huko bongo,heri nije na kimguu changu cha kuku
   
 2. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 493
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Go for "Glock 19 (9mm)". Hii in ubora sawa na AK 47.
   
 3. K

  Kimeo Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkubwa,ngoja niigoogle nione,naweza nkawa natembea nayo kweli hiyo?let me check
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  umenena mkuu.Glock ndio kila kitu na be yake ni tzs milioni.mbili na nusu
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata ukiipata wauzaji wataituma kwenye agent aliyeteuliwa kuhifadhi silaha. Huwezi kuja nayo wewe kama wewe na hata ukikubaliwa lazima u-hand it over to pilot then ataikabidhi kwa bohari la silaha. Kwa hapa kwetu ni Tanganyika arms. Wataihifadhi mpaka hapo utakapokamilisha taratibu za kuimiliki.
  Kuna vikao vya ulinzi na usalama vya kijiji hadi mkoa vitakavyokaa na kukupitisha ili umiliki silaha. Then Mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa atapeleka jina lako Wizarani then kama una bahati utapewa KIBALI thereafter unaenda Tanganyika Arms kuchukua msala wako.
  Kwa wanaomiliki silaha ni kitu hatari sana! Huna uhuru hata kidogo. Ukiacha nyumbani lazima uwe na uhakika wa safety locker. Ukiwa nayo kwenye gari omba vibaka wasiipitie! Ukiiweka kiunoni omba watu wasiione na usiingie nayo bar! Usiwe na hasira za haraka! Yaani jamaa anatoka huko atokako kapanda ile mbaya afu anamshika your my wife makalio! Lazima uchomeo ka mguu ka kuku (Yule askari pale Moshi alikasirishwa akenda kuchukua SMG kwenye corola). Achilia mbali wale wenye mabinti ukute kapindwa kwenye ua wa pale home! Saa nyingine wale wenzetu wanakufata wanakwambia hawajajia kingine wanataka JEMBE na ukibisha wanakutoa roho. Si kitu muhimu sana kuwa nacho kwa kweli.
   
 6. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 493
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimekupatia ushauri wa kwanza na wa mwisho. Hautajutia baadaye na utanikumbuka sana tu. Risasi za 9mm zinapatikanika kiurahisi zaidi na Glock yenyewe ndo umefika hapo. Bongo wanauza 2.7millioni.
   
 7. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 493
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ujumbe mzuri sana huu kwa Kimeo anayetafuta hicho kitu.
   
 8. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 493
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Go for Gock 19 mkuu ni compact size. Siyo kubwa sana na wara sioi ndogo sana.
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mshauri pia aache starehe na awe anawahi nyumbani mapema wasije wakamnyang'anya. Hawakawii kumtaka awape JEMBE mkuu! Mi namshauri aachane na hii kitu kama hajatulia!
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,405
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tanganyika arms wanauza ghali mno ukitaka bei nzuri nenda duka la jeshi ( mzinga ) badala ya kununu 2.7m utapata kwa 1.5m . Tembelea mzinga hakika hutarudi Tanganyika arms.
   
 11. K

  Kimeo Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimewasoma wakuu,lakini pia vibaka wakikuotea wanaweza wakakufanya kitu mbaya kama huna hiyo kitu,tatizo pia mtaani wanaamini eti ninayo kwavile tu mi ni mjeshi.mgogoro mkubwa ni namna ya kuitunza maana inabidi iwe sehemu ya mwili wako
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bora waendelee kuamini hivyo hivyo na wala usijishughulishe kuinunua!
  Ngoja kwanza! Mjeshi hajui taratibu za silaha! Hajui mzinga wanauza silaha! Yuko mamtoni wala hajawahi kuona silaha anaomba ushauri kwa raia! YOU MUST BE JOCKING!
  Tulia wewe fanya kazi acha kuota!
   
 13. K

  Kimeo Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Rejea post yangu ya awali,nimesema nipo wapi na ninataka ushauri gani
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nunua browning 7mm ni ndogo kama pen hivyo ukiiweka mfukoni wala haitakusumbua kwa vile ina uzito kiduchu
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,178
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Browning CZ-7.65mm
   
 16. G

  Greard Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu wangu.... Hiyo silaha unataka kuuwa binadam yaan sisi au ndege na wanyama
   
 17. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimewasoma hii kitu bongo ni muhimu kuliko manati. Mtaani wananigwaya maana wanajua kitu ya moto iko ndani.Siku moja tukiwa baa tukaamriwa wote kulala chini kumbe jamaa walikuwa na SAR risasi mbili ndani mmoja walipiga walipotinga ndani ya pili pale mhudumu alipokaidi amri.Walipotakakupiga ya tatu kukock hamna kitu.Ndipo kwa ujasiri nikawasha hewani mbili kwa mkupuo.walipiga timu hakuna mfano ka SAR kao wakakarushia counter.Niliibuka shujaa.Leo nikitinga pale npiga tungi bureeeee!!!
   
 18. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,405
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hiyo ndogo mkuu .
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,875
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  "I got a nine millimeter
  Ready to go off any minute so you feel it
  Because of the law, I had to conceal it
  If you f**k around you gone make me reveal it ay"
   
 20. W

  WARREN Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bana hebu acheni kuzingua MJESHI halafu anaulizia habari za taratibu za kununua silaha? Huyo hayuko siriasi anataka kuzingua kijiwe bwana na bahati mbaya hii siyo sehemu ya kujipaisha! Kwa bongo yetu ukishakuwa mjeshi unaheshimiwa hadi na vibaka ukitaka kuprove hilo jaribu kuvaa kombati halafu katiza anga zao heshima utadhani anayepita ni rais na kama ni wale jamaa wa kujitoa muhanga hao wakiamua kuja wanakuja tu hata ukiwa umepaki kifaru uani kwako na mbaya zaidi we unakuwa na moja wao wanakuja kama nane na kila mmoja anayoyake na anajua kuitumia!
   
Loading...