Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,292
- 781
Wakuru, naomba tuulizane kiundani, benki nyingi zinazuia mtu kuingia na bunduki na siraha zingine ndani. navyojua mm mtu huamua kununua siraha (na kumiliki kihalali) pindi anapoona kwamba kuna ulazima wa kuwa nayo katika kulinda usalama wake na mali zake. kwa utaratibu wa benki nyingi, hawana dhamana ya fedha yako mapaka pale unapokuwa umedeposit kwao, hata kama upo ndani ya malango yao! kwa hiyo ni juu yako kulinda mali yako pindi unapokuwa haujakabidhi benki, inakuwaje unazuiwa kuingia na bunduki ilhali ukivamiwa na majambazi ndani ya benki,ukiwa kwenye foleni, au ndani ya bulk cash teller na kuchukua kamtaji kako inakuwa imekula kwako? mm nadhani kunakitu hapa hakijakaa vizuri!! naombeni msaada