Basi nitajinyonga kesho

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
435
273
Du dingi mmoja alimfuma wife wake na kidume kingine geto.da dingi hasira si akaaga anakwenda kujitoa roho basi akabeba kiti cha kusimamia atakapovaa kitanzi .mother kwa ukauzu akamnyemelea kwa nyuma dingi ile anaweka kiti tu.mother anamwambia haya baba uwasalimie huko alafu fanya haraka ujinyonge nyumbani atakaye takeplace anataka kiti akakalie kuona hivyo ding akabadil siku ya kujinyonga akihaidi kufanya hivyo kesho yake.
 
Kutaka kujinyonga ilikuwa ni roho ya shetani,mkewe ndo alomfukuza shetani hatimaye malaika akamwambia mume kuwa unajinyonga unaacha kidume kinafaidi
 
Hv kukaa rwepaz,nkadhan utakua umejfunza ubaya salu,kumbe una malengo km ya kikwete kuharisha kuja arusha.
 
Back
Top Bottom