Basi nikiss nichum.. Mwa!

Hii kiss nikitarajia kui blow soon iende kwa wapenzi wangu
wooote waliomo jf bila kumsahau Kaunga, waume na mastrangers wote............ ujumbe,
no one like you. Kila mmoja yupo spesheli hata kama mpo zaidi ya 10. mwaaaaaaaah :A S kiss:

kiss1.jpg
 
Last edited by a moderator:

mwaaah, erotica habari za wikiendi? Nimekumisije!
 
Last edited by a moderator:
mwaaah, erotica habari za wikiendi? Nimekumisije!

wkend iko poa, niko free as a bird ukizingatia nimeacha sex for a year.

wewe Tanmo kiss niliyokupa sio uliyo koti. vipi ile umeogopa? :A S-baby: teh teh teh
 
wkend iko poa, niko free as a bird ukizingatia nimeacha sex for a year.

wewe Tanmo kiss niliyokupa sio uliyo koti. vipi ile umeogopa? :A S-baby: teh teh teh

umeacha sex? For a year?? Kuanzia lini? Kwa nini? Una mbadala wake tayari? Yesu na Maria!!!

aisee hapa niko na mchina, ngoja nikiwa kwa pisii nitakutumia bonge la kiss, hadi ujilowanishe..
 
umeacha sex? For a year?? Kuanzia lini? Kwa nini? Una mbadala wake tayari? Yesu na Maria!!!

aisee hapa niko na mchina, ngoja nikiwa kwa pisii nitakutumia bonge la kiss, hadi ujilowanishe..

yes for a year. nimepata mbadala, ratiba tite, hakuna kukaa aido.

mazoezi kama dozi ya dawa. a lot of dancing itahusika sana.

naomba kiss unipe taratibu usinitie majaribuni, ikiwezkana iwe ya kukausha siio kulowesha.
 
hukumpata yule kidume uliyekuwa unamsaka mwenye sifa kama za vidume wa JF? Hii ndo sababu ya kuacha haya makitu? Poa basi ngoja nitakutumia busu kwa njia ya barua..
 
Mwuahhh...mwuahhh...mwuahhh!!

Kwa wote wanipendao!!

Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............
nalakesho na kehokutwa na mtondogoo, lakulalia, laasuuhi, la byebye yote nimelipa usinidai tena.
 
akina dada, akina mama, akina bibi na wengineo wote wenye jinsia -ke- hii ni dedication yangu kwenu na fursa ya kum-kiss na kum-chum yeyote umpendaye..

akina baba, akina kaka, machalii na ma-arifu,, pia mnaweza kutumia fursa hii kuwa-chum na kuwa-kiss sukari zenu za roho..

btw: Any kiss to tanmo (of coz from a lady) will be appreciated..

mapendo.
tanmo

i'll mwaaaaaaaaaaa you siku ukinipm hadharan naogopa maana ushaweka bias eti unaappriciate za wadada tu ila usijali ninamtu wangu utamwona tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom