Basi lagongana na lori, laua watu (Ngogwa wilayani Kahama)

Mwanaweja

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
3,575
523
Kwa taarifa nilizozisikia kutoaka ITV si muda mrefu kuna ajali imetokea kijiji cha Ngogwa wilayani Kahama basi kutoka Dar kuelekea Bukoba limegongana na lori na limeua watu 4 papo hapo na majeruhi kadhaa.

Tunaomba mlio karibu na tukio mtujuze zaidi
 
kwa taarifa nilizozisikia kutoaka ITV si muda mrefu kuna ajari imetokea kijiji cha ngogwa wilayani kama basi kutoka Dar kuelekea Bukoba limegongana na lori na limeua watu 4 papo hapo na majeruhi kadhaa. tunaomba mlio karibu na tukio mtujuze zaidi

hapo red/bold ni wapi?
 
Ni Kagongwa nadhani na sio Ngogwa kama mleta thread hii alivyoandika. Hii sehemu iko Km chache toka Kahama mjini. RIP marehemu wote na POLE wafiwa.
 
Nimeenda eneo la tukio , panaitwa Ngongwa km15 kutoka kahama mjini kuelekea Rwanda-Burundi-Ngara-Bukoba.

Basi limegongana na sem, Kulingana na habari za mashuhuda basi lilikuwa linatoka Dara kwenda Bukoba. Lililala Kahama mjini na saa 12:00 lilitoka kahama kuendelea na safari. Hapo ngongwa semi ilikiwa ilyokuwa inaelekea kahama lilijaribu kumkwepa mtu aliyekuwa amebeaba mkaa kwenye baiskeli ndo ikabana upande wa basi na kuparua upande mzima wa dreva . Watu watatu wemekufa palepale akiwemo dreva wa semi na zaidi ya watu 15 kujeruhiwa vibaya hasa wamekatika miguu.

02102012090.jpg 02102012089.jpg 02102012088.jpg 02102012087.jpg 02102012086.jpg
 
RIP All, nadhani hawa ndugu wanaondesha baiskeli inatakiwa kuwe na utaratibu maalum kwao kwa matumizi ya barabarani. Maana mara nyingi wamekuwa wakichangia ajali hasa mida ya usiku magari yanapopishana.
 
Mkuu asante kwa kutupia picha. Innalilahi wainnailaihi Rajiun-Hakika kwake tutarejea. Kwa wafiwa poleni sana.
Naona ni basi la RS ambalo kama sikosei mwaka juzi au jana liliua watu zaidi ya 10.
 
Dah nimesikitika sana RIP marehemu wote na poleni majeruhi na wafiwa.....!!!
MUNGU ATUSAIDIE.................!
 
tatizo la tanzania main raods zetu zinatumika kwa wenye baiskel, mikokoteni, etc . nchi za wenzetu hakuna main road amabayo inauchafu wa aina kama hii na hili linatokana na kukosa palnning za sehemu gani ni muhimu kwa watembea kwa miguu, baiskel, mikokoteni, etc. ndio kunakomaliza maisha ya watu wengi. turnroad wanatakiwa wategeneze barabra wakiujua kuna huduma zingine nje ya magari
 
mkuu usukumanini balaaa, maana hata mijini kuna punda,ng'ombe, matorori,baiskeli, pikipiki,watu vyote hivi vinatumia barabara moja
 
asante kwa hizi taarifa zinazoeleweka.
Mkuu tatizo hili sio usukumani tu bali ni uelewa mdogo tuliokuwa nao watanzania wote. Fikiria hata miji mikubwa kama Dar es Salaam. Unakuta katikati ya mji na kwenye the so called highways kuna vitu vyote hivyo ulivyovisema, tena mbaya zaidi kuna yale maguta ambayo yanashindana na magari utafdikiri navyo ni vyombo vya moto!
 
Back
Top Bottom