Mkuu hizi kafara zipo sana aisee kwa hawa transportersnasikia kuna makusudi fulani yanafanyika
kutokana na imani za kishirikina,
wanatoa watu kafara,
but i hope i am wrong.
but hizo tetesi zipo saana.
inasikitisha sana kusikia hizi news hasa ukiangalia jinsi barabara ya Dar-Dom ilivyo relatively safe!!
Je mabasi yetu yana viwango vinavyokubalika kusafirisha abiria? Hivi kila ajali tatizo ni mwendo kasi wa dereva?
hata kama hayana viwango
lakini ni viwango hivyo hivyo
vinavyotumika africa nzima.
iweje sisi ndo tuwe
na ajali kila siku?
nasikia kuna makusudi fulani yanafanyika
kutokana na imani za kishirikina,
wanatoa watu kafara,
but i hope i am wrong.
but hizo tetesi zipo saana.
Ajali imetokea mbele kidogo tu ya CHALINZE na majeruhi wamekimbizwa ospital ya TUMBI. Tayari vyombo vya habari vimefika hapa eneo la tukio. Sababu ni mwendo kasi wa dereva wa basi la SHABIBU.
Mkuu Boss,
Nilikuwa nataka kutizama kwa mtazamo mpana zaidi. Naamini kabisa kuwa mwendo kasi ni moja ya sababu ya hizi ajali. Lakini nafikiri kuna zaidi ya mwendo kasi. Mfano, je madereva wote ni competent? Haya magari ni mazima kweli? Maana hata tairi mbovu tu inaweza kuwa sababu ya ajali. Sijui kama kuna uchunguzi wa kina huwa unafanyika kila ajali inapotokea kutafuta sababu ya ajali. Si ajabu kukuta baadhi ya hizi ajali, mwendo kasi ni secondary cause.
Nilikuwa kwenye basi la Abood. Tumefika sehemu ya ajali, na kukuta juhudi za kuwanasua majeruhi zinaendelea. Ni ajali mbaya sana. Basi limejiingiza kwenye bodi ya lori. Dereva amekwepa upande wake na kuacha upande ule mwingine uingie kwenye lori karibu nusu. Inaonekana ni miscalculated overtake.