Msaada: Basi gani ni zuri kwa safari ya kutoka Dar-es-Salaam kwenda Mbeya?

Dar lux Baby
e6acd229e699ed341afee44cee940c9a.jpg
 
Basi nzuri kwa safari kutoka dar es salaam kwenda mbeya, ni basi la.
THE INDUSTRY.
ni basi nzuri yenye speed ya wastani, yenye A/C ya kutosha, yenye Huduma ya vyakula na vinywaji safi na salama.
Bei ya nauli iko poa.

THE INDUSTRY..............
 
Mbona siwaelewi mazee!

Naona kila mtu anataja la kwake, mnanichanganya sasa
 
panda Rungwe express mkuu iko vizur sana ina wahudumu wapole na wanajali pia wanaongoza safar vema sana.hutojuta wallah...
 
Mkuu hapa miluzi mingi itakupoteza, mwingine anaamini ubora wa basi ni ile linatoa huduma ya kuchimba dawa kila saa ukitaka tu popote
 
Back
Top Bottom