Basi angetembea na mwanamke mwingine sio Judy rafiki yangu!

Huyo shemeji yako ni chizi miwaya, umeshapigwa chini, rafiki nae kajipanga hapo hapo. Kwanini hakai akatafakari kama huyo jamaa anamatatizo maana hata respect hana ya kuwachanganya yeye na rafiki yako. Maana jamaa kaona wote ni cheap ndio maana awepanga hivyo.

Kama anajipenda na kujiheshimu zaidi, kuomba kurudiana nae ni sawa na recipe for disaster!

Mlango mmoja unapofungwa mwingine unafunguliwa.

Huyo aliyepigwa chini mlango wake kwa erick umeshafungwa,then judy kafungua mlango kumkaribisha erick,whats wrong?
 
Ndio fikira zenu zilipoishia.....I don't have ****ing problem with Judy, my problem ni huyu aliyepigwa chini, kwanini ajibembeleze kwa mtu ambaye alishamwona hafai. Thats what I want it to get into her mind and your mind too
 
Hapa sawa!
 
Back
Top Bottom