Bashe, Shigela washukiwa; UVCCM wawarushia tuhuma nzito

jaman nilisha sema hapa jf kuwa Mungu anapaotaka kufanya jambo huwa anatumia njia nyingi ccm wanasema kuwa wamejivua gamba na wanamsemaji wa chama ambaye ni nape sasa na huyu anatokea wp kukisemea chama'?amuoni ni Mungu anafanya kazi yake kwa sababu anataka kuleta mabadiliko makubwa sana kwa watu wake kwa sababu wamenyanyaswa sana
 
Dogo anatafuta attention tu :GONGA HAPA na HAPA
Nahisi yuko 'jobless', kama vp aka're-sit' tu!

Matefu-small.jpg
 
Nyani na Ngedere hawawezi kupita shambani halafu mmoja anavuna mahindi eti mwingine aache.amelogwa.wote watavuna ila nani wa mwisho atakayeshikwa, hilo ni jambo jingine.
 
Dogo anatafuta attention tu :GONGA HAPA na HAPA
Nahisi yuko 'jobless', kama vp aka're-sit' tu!

Hii inatisha.Sasa naanza kuamini yasemwayo kuwa,wengi wafuas wa ccm aidha ni mbumbumbu wa kuvuta na kamba au kama ni bright basi ni fisadi.Matefu kwa pass hizi hana kwa kwenda lazima abembeleze apewe ukatibu tarafa wa ccm.Wale wale kina Kibonde na kusifia ccm.Kama unajiamini njoo CDM kwenye vichwa vinavyochemka.
 
MMMMMMMMMM sasa mimi ccm imenichanganya kabisa
hivi huyo ni kambi gani sasa? nina hakika sio RACHEL KAMBI,
Kaa kama ki-sitta sitta, wandugu kama kuna mtu ana data tunaomba msaada tutani,
hivi ccm kambi zimefika ngapi? naona kama kambi zanaanza kuzaa kamba
na huyo mkuu wa wilaya BUNDA imekuwaje, mbona naye katajwa, hilo ni jimbo la sokwe kuna nani huko?
 
mkuu am not buying this, kwa sababu wengi wa UV-CCM wanatuhumiwa kuna na sifa kama hizo na ndio maana ni mjumbe, sasa kama yeye kaweza kuwa hadi mjumbe vipi wewe ambaye sio mjumbe? haya ni maji taka,
nyie semeni mmedhurumiana nini humo ccm? au two brother inkufa na chama
maana siku hizi ccm ni kama kuzimu, watu wanafufuka na kulipuka kwenye vyombo vya habari
welaaaaaaaaaaaaaaaa sasa ni kama kusukuma mlevi siku zimepungua mpaka 21,
i can't wait
Dogo anatafuta attention tu :GONGA HAPA na HAPA
Nahisi yuko 'jobless', kama vp aka're-sit' tu!

View attachment 28040
 
Back
Top Bottom