Bashe na kundi lake wanaigharimu CCM

Mkuu hapo chini ni kwamba ulimaanisha NAPE NA KUNDI LAKE au Bashe kuighrimu CCM; maana kidogo sijakuelewa katika madai yako?

Msaada tafadhali katika hilo.

Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.
 
Hapo kwenye RED unajaribu ni kama new episod ya kusema serikali ni dhaifu
 
Wajisemee Mbwa kala Mbwa......nyie endeleni kuchafuana M4C inasonga kwa mwendo light
 
Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.
no comment
 
Mchawi anapokata roho ulopokalopoka kila aina ya neno!!amini,usiamini,ccm imefika mwisho,mwacheni bashe na fisadi lake rostam ccm imenyanyasa sana wakulima na wafanyakazi kama madaktari,walimu n.k na mbaya zaidi walimu sasa wanawafudisha watoto haki na kuwaelimisha juu upumbavu unaofanywa na serekali ya magamba ncha kama haina rais,,yaani ni dhaifu yupoyupo tu!msitafute mchawi wakati huu,wananchi tumeamua kuwa chukia hasa dhaifu.

:sleepy::A S confused:!!
 
Anachochewa na Chadema huyo.

Chadema wamezidi uchochezi dhidi ya serikali yetu pendwa, walianza kupitia kwa madaktari, walimu, wastaafu, Mwanahalisi, Vita dhidi ya Malawi, kugomea sensa na sasa Bashe.

Mbona wewe ni mpotoshaji sana kwa yote uliyoainisha? Una ushahidi wowote juu ya madai yako kuhusu CHADEMA? Unapoteza muda kapumzike ili akili itulie.
 
OTIS CCM si wamesema wanakata rufaa au unadhani kuna kura za maoni kwa ajili ya Igunga hivi karibuni? Nachelea habari hii ni mwanzo wa vijembe kama kutakuwa na ratiba ya uchaguzi mdogo Igunga
 
wote ni vipofu wanataka kuongozana,kuhujumiana ndio sera ya chama cha magwepande CCM.kwani hata ninyi si mlimhujumu huko Nzega?anatumia poison to fight poison.
 
Nafkiri humu ndani imefikia kipindi watu kama hawa mutuache tuwatusi kdg,eti bashe anahujumu chama unajua maana ya hujuma au unaropoka tu,sikuachi hivi hivi lazima nik..kane kwa kijaluo,..olundi...tena vijana tunashukuru kumpata kijana kama bashe afu eti ngengenge..ngenge lafa wewe.
 
Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Huo wito unautoa kwa 'serikali' ipi? Kwa sababu akina Bashe nao wa 'serikali' yao ambayo ina mamlaka kamili. Ina wizara zake na watendaji wake, kama ambavyo walimpiga marufuku Nape kwenda Igunga na hakwenda! Serikali hiyo mbadala ndiyo ambayo inafanya magamba washindwe kufanya maamuzi ambayo wanadhani ni 'magumu'.

Hapo kwenye bold, ni kwamba idara ya uhamiaji walishamthibitisha Hussein Bashe kuwa ni raia halali wa jamhuri hii, hata kama mweyekiti wenu wa magamba hakubaliani na hoja za uhamiaji. Bashe ana haki ya kupiga na kupigiwa kura. Angekuwa si raia asingekuwa mwanachama 'wenu'. Kama una hoja nyingine lete tukujibu.

Huyu kijana sasa amezidi, na sijui kiburi hiki anakipata wapi. Sasa ameanza kampeni chafu baada ya kusikia kipenzi cha watu Kigwangallah anagombea uenyekiti wazazi Taifa. Hivi wewe shida yako nini hasa? mbona unatumika vibaya wewe? Unatuvurugia chama chetu. Kila kukicha ni wewe wa fitina na majungu. Go Kigwangallah go!! tuko nyuma yako
 
Huyu kijana sasa amezidi, na sijui kiburi hiki anakipata wapi. Sasa ameanza kampeni chafu baada ya kusikia kipenzi cha watu Kigwangallah anagombea uenyekiti wazazi Taifa.

Du! hii nayo ni mpya! unauhakika kuwa ni kipenzi cha watu au ni mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom