Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

Ndiyo, Ndugu Utingo.

Inawezekana likawa tatizo kubwa kitaifa kuliko tunavyodhani. Inawezekana wapo watu wenye shahada kutoka mikoa mbalimbali lakini msingi wa elimu yao ya mwanzo na sekondari ina mushkeli kama kesi hii inavyoonyesha.

Nadhani kijana Hamis Andrea akipata msaada wa kisheria, anaweza afanikiwe kumuonyesha Mheshimiwa HK kuwa kitendo alichokifanya (na mama yake kutumia ofisi yake namna ile) ni kiovu na kwamba yeye (HK) hayuko juu ya sheria.

Inasikitisha sana: kama dhahabu (kiongozi) ikipata kutu na chuma je?!.
na huo ndiyo ulikuwa mchezo wa viongozi wa Elimu na wanasiasa miaka ya 1970,1980 and early 1990's katika mkoa wa Tabora.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

Uliniudhi kwa mashambulizi yako ya kipuuzi juu ya sifa za Dr. Slaa. Nimesikitishwa sana kuwa your origin can not be traced(kitanda hakizai haramu). Kibaya, kwa kujua unatumia jina la mtu ambae umempoka haki yake kwa jitihada zake shuleni wewe ukiwa umefeli na yeye anasota tafuta suluhu naye hata kama hajui na wewe unajua.

Ni mbunge kwa utapeli si mwaminifu hata kwako binafsi hili linawekana tu CCM. Kwa vile unajiona uko matawi ya juu na kuwahukumu wengine sasa jifikirie kujihukumu mwenyewe even if your conscious is dead. If you don't clear your conscious now you will do it when it is too late and regrettable because evil are never corrected by pretex.

Hivi nyinyi magamba guts za kutudanganya mnazitoa wapi na hadi lini?
 
MAKALA HII INAUKWELI MKUBWA SANA KWA BAADHI YA MAMBO, NI KWELI Dr KINGWANGALLAH ALISOMA NA BASHE, JAPO NAYE ALIKUWA ANAJULIKANA KAMA HUSSEIN MOHAMED.
JINA LA BASHE NI JIPYA PIA.
UWEZO WA BASHE SHULENI HAUKUWA MKUBWA SANA HAPO KITONGO NA HATA ALIPOKWENDA BADRI SIDHANI IWAPO ALIPATA MUUJIZA GANI HADI KUFAULU.
KINGWANGALLAH NI KICHWA HAKUFAULU LAKINI ALIKUWA NAUWEZO WA DARASANI NAKUMBUKA NIKIWA FM 4 ALIKUWA ANANIFUNDISHA BIOS NA CHEMISTRY HE KNEW THE SUBJECT VERY WELL. MUHIMBIRI NI KATI YA VYUOMakini na vigumu sana kwa mtu wa kawaida kumaliza hivyo kumalizakwake hakuna shaka japo jina aliiba.
BASHE NI MSOMALI , MGENI, WAKUJA NA SIO MWANANZEGA KWA VIGEZO VIFUATAVYO
1. UKIANGALIA KOO ZA NZEGA AMBAZO KWA KWELI ZILITOA MACHIFU NA VIONGOZI NA ZILIKANDAMIZWA NA WAZAZI WAKE BASHE. WALIKUJA KUWANYONYA WATANZANIA WAKATI WA UKOLONI HIVYO HAFAI KUWA KIONGOZI WETU.
2. BASHE AMEKUWA MTUMISHI WA MTUAMBAYE ANASIFA MBAYA TANZANIA , MAISHA YAKE YANATEGEMEA UFISADI NAHAJACHUKUA HATUA YA KUACHANA NA AMA KUMSHAURI BRO ROSTAM ABADILIKE NA KUTUONEA HURUMA AACHANE Na ufisadi YEYE ANATAKA NAFASI YA KUNYONYA ZAIDI.
NAJUA WAPO VIJANA WENGI WA NZEGA WENYE SIFA NA HAWANA HATA DOA KAMA ENG JOSEPH PIUS, JOSEPH MASSIMBA, DR REBECA SAMWEL NA WENGINE WENGI TUTAWASHAWISHI WAGOMBEE NA TUTAWAPA MCHANGO WA HALI NA MALI WASHIDE.
ASANTE BASHE KWA TAALIFA LAKINI WEWE PIA HUFAI
Mkuu mimi nimesona nao wote nzega hilo jina la bashe ni last name Mohammed ni middle name
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

Yaani unatutuma sisi tukatafute article zako? Huna nyimbo wewe tumegundua uchafu wako, kama una mbavu jibu hoja za huyo Bashe.
 
Uliniudhi kwa mashambulizi yako ya kipuuzi juu ya sifa za Dr. Slaa. Nimesikitishwa sana kuwa your origin can not be traced(kitanda hakizai haramu). Kibaya, kwa kujua unatumia jina la mtu ambae umempoka haki yake kwa jitihada zake shuleni wewe ukiwa umefeli na yeye anasota tafuta suluhu naye hata kama hajui na wewe unajua.

Ni mbunge kwa utapeli si mwaminifu hata kwako binafsi hili linawekana tu CCM. Kwa vile unajiona uko matawi ya juu na kuwahukumu wengine sasa jifikirie kujihukumu mwenyewe even if your conscious is dead. If you don't clear your conscious now you will do it when it is too late and regrettable because evil are never corrected by pretex.

Hivi nyinyi magamba guts za kutudanganya mnazitoa wapi na hadi lini?
sasa wanakulana wenyewe kwa wenyewe PATAMU HAPO;Bado JK na Mapacha watatu
 
Duh!kumbe kuna mambo mengi nilikuwa siyajui kuhusiana na Hamisi Kingwangala!!
 
Bashe unajimaliza kwa kufanya siasa ccm toka kuna vyama kibao unaonesha una ubongo mzuri
 
kwakweli nimesoma haya maandiko ya bashe, na kusikitika kabisa kupoteza muda wangu kwani ni yaleyale ya magamba tu

wana laana ya kutafunana wenyewe, na sasa wameamua kuwa public
 
Wanajamii sikilizeni kwa makini, haya yamekuja baada ya Hamis kuuliza swali la umeme ambalo Rostam, Bashe na Lowassa ndio Prime member................

Haya yote CCM waliyajua hata kabla ya uchaguzi, alas they didnt realise kwamba Hamis was fighting from within.

Hii yote ni ile vita ya mafisadi na ccm safi

Mtasikia mengi sana, ila kama mnaipenda Tanzania mtanielewa

Hamis amegusa mslahi ya wakubwa wa mafisadi and Bashe is their korokoroni

Unatakiwa kujibu kwa hoja. Unaambiwa Kigwangala aliiba nafasi ya mtu mwingine, wewe unasema ni kwa sababu ya mitambo ya umeme; unaambiwa kuwa alienda kuapa mahakamani ili atumie jina lisilo lake, wewe unasema ni kwa sababu ya mitambo ya umeme; unaambiwa kuwa Kigwangala amedanganya kuikana WAMA, wewe unasema ni kwa sababu ya mitambo ya umeme. Wewe ni mzima au umejazwa cha kujibu kichwani mwako? Hata kama Bashe ni rafiki au hata angekuwa ni mwanae wa Rostam, hiyo haizuii kuiangalia hoja na contents zake kama zina ukweli au la. Hapa tunaangalia hoja siyo kuimba kiitikio.
 
Ikifika 2014 mnaweza kusikia Kigwandalah anatangaza kustaafu ubunge ili aendelee na majukumu ya WAMA, watch...
 
Jamani tuwe rational kidogo, hivi kwa darasa la saba kama kuna lolote lililotokea yeye Kigwangala alikuwa nafasi gani kulishawishi? Kwa umri huo ni wazi walioshiriki walikuwa ni watu wazima na yeye kama mtoto alipaswa tu kutekeleza. Lakini pia hatua kutoka primary hadi kuwa daktari ni kubwa sana, wengi tu walifaulu or rather kuchaguliwa std VII lakini hawakumaliza hata form two leo hii Hamis ni Daktari tunaweza kuhoji uwezo wake wa darasani ukizingatia mitihani migumu aliyofaulu?

Una uhakika gani kuwa Kigwangala halisi kama angeendelea na masomo asingefanya vizuri katika masomo yake kama alivyofanya Kigwangala Bandia, au pengine kufanya zaidi ya alivyofanya Kigwangala Bandia? Suala hapa ni kwamba Kigwangala Bandia alipokonya haki ya mtu mwingine. Kigwangala Bandia alikuwa na haki ya kutafuta njia nyingine zozote za kuendelea na masomo zilizo halali lakini siyo kutafuta mafanikio kwa kudhulumu haki za watu wengine.
 
Nitakuwa na furaha sana huyu Bashe akiwa CDM! Akipata nafasi huko CCM atatusumbua sana. Nape ni ver 2.0 ya Makamba na Tabwe Hizza hes no body....hana uwezo wa kuanalyse issues
 
Aise kumbe siye tuliosoma enzi za Mzee Ben tuna bahati ati! Manake walau sekondari zilikuwa nyingi, labda ndiyo maana tukapenya darasa la saba.

Vinginevyo na mimi ningeshagwangaluliwa saa hizi ningekuwa nachunga mbuzi kijijini tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom