Bashe, Kigwangala, Mgeja, na Lembeli wapeta. Kamati Kuu CCM

ACHEBE

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
348
76
Wagombea ujumbe we NEC kupitia wilaya ya Nzega Bw. Hussein Bashe na Dk. Hamis Kigwangala wamerejeshwa kuombea nafasi hiyo na Kamati Kuu baada ya Awali Taarifa kuelezea kuwa Secretarieti ya CCM iliwatoa kugombea nafasi hiyo.

Pia Kamati Kuu ya NEC imewarejesha Bw. Mgeja na Bw. Lembeli kugombea nafasi ya Mwenyekiti we CCM mkoa we Shinyanga.
Mwisho
 
Kamati Kuu ya CCM, ambayo inaendelea hivi sasa mjini Dodoma.
 
Niwashauri MODS
Inapoletwa thread hasa kwenye jukwaa la siasa ambayo haina reliable source naomba apigwe BAN.
Hii itasaidia kupunguza members kuchangia uzi ambao uko kiudaku udaku. Otherwise isemwe kama ni tetesi
 
Aaaah! Mara wamepigwa chini, mara wamerudishwa!? Which is which?
 
Wagombea ujumbe we NEC kupitia wilaya ya Nzega Bw. Hussein Bashe na Dk. Hamis Kigwangala wamerejeshwa kuombea nafasi hiyo na Kamati Kuu baada ya Awali Taarifa kuelezea kuwa Secretarieti ya CCM iliwatoa kugombea nafasi hiyo.

Pia Kamati Kuu ya NEC imewarejesha Bw. Mgeja na Bw. Lembeli kugombea nafasi ya Mwenyekiti we CCM mkoa we Shinyanga.
Mwisho

Ahsante kwa taarifa Nape Nnauye!
 
Niwashauri MODS
Inapoletwa thread hasa kwenye jukwaa la siasa ambayo haina reliable source naomba apigwe BAN.
Hii itasaidia kupunguza members kuchangia uzi ambao uko kiudaku udaku. Otherwise isemwe kama ni tetesi

tumia neno "authentic source" na siyo reliable source
 
Back
Top Bottom