Elections 2010 Bashe akiri cmm 2015 kuwa chama cha upinzani.

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Mjumbe wa Barala la Utekelezaji la UVCCM, Hussein Bashe amekiri waziwazi kuwa CCM isipokuwa makini uchaguzi wa mwaka 2015 ukimalizika, utakiacha kikiwa chama cha upinzani na si chama tawala. Sekretarieti ya CCM itakabidhi chama kikiwa cha upinzani Watanzania wana matatizo mengi , lakini viongozi badala ya kuangalia hayo wanaendekeza siasa za chuki na kinafiki. Alichokifanya Rostam ni haki yake, lakini pamoja na hayo hawatendei haki wananchi wa Igunga, ila kwa kuwa ni maamuzi yake hakuna jinsi alisema Bashe. Wakati huohuo hali ya kisiasa Igunga ni tete wakati wanaCMM wanajiandaa kurudisha kadi zao na kujiunga na upinzani.
 
better warudishe kadi zao wajiunge na upinzani haraka sana pasi kusita, nchi hii ilipofikia inahitaji wabunge wengi wa upinzani na hatimaye 2015 kuiangusha kabisa ccm
 
Hao wanachama watakuwa wamefilisika kiitikadi ina maana Rostam was all they have? was he their demigod? hawana mtu mwingine atakaeweza kuwatumikia kwa ufanisi? they were just politically brainwashed-poor igunga ccm members!
 
kwa hilo numuunmga mkono bashe make rostam ndo alikua injin ya ccm kiela,kibrain na kimkakati............bg up rostam
 
Sipati picha chama cha upinzania Tanzania CCM by 2015 watatia akili
 
Back
Top Bottom