Basata: Vyombo vya habari vidhibiti kazi chafu za wasanii

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limevitaka vyombo vya habari kuwa mstari wa mbele katika kudhibiti kazi za Sanaa zisizo na maadili kabla ya kwenda hewani ili kuepuka mmomonyoko wamaadili katika jamii.


Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Sanaa BASATA Vivian Shalua wakati akiiahirisha programu ya Jukwaa la Sanaa inayofanyika kila wiki kwenye Ukumbi
wa BASATA ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.


Alisema kuwa, wakati Baraza limefikia hatua nzuri ya kudhibiti hali hiyo, wadau wakuu katika kumaliza tatizo hili ni wasanii wanaotakiwa kutunga kazi bora na zenye maadili huku vyombo
vya habari vikiwa na wajibu wa kuchuja kila kazi ya Sanaa inayopokelewa kabla

CHANZO: GUMZO LA JIJI
 
Back
Top Bottom