Barubaru, Karibu Tanzania

HM Hafif

JF-Expert Member
Aug 16, 2009
1,359
20
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu sana kuwafahamisha kuwa Dr Hamza ( Barubaru) anatarajiwa kufika Dar es salaam leo jioni akiongozana na mkewe na mtoto wao ,kwa mujibu wa simu aliyonipigia akiwa anatoka Dubai.

Napenda kumkaribisha nchini kwetu kwa masiku atakayojaaliwa kukaa.

Kwa mijibu wa mwenyewe Dr Hamza angependa kuonana na members wengi itakavyokuwa hapa Dar, Zanzibar, Morogoro na Mwanza.

Kwa idhini yake akifika tu na akiniruhusu nitaweka namba yake atakayokuwa anaitumia hapa nchini.

Karibu sana Dr Hamza,
 
Alhamdulilahi nimefika salama usalimini. Ila Dar joto kali sana.

Mimi na familia yangu tumefikia Nyumbani kwetu Mtaa wa Ali Khan, Upanga , Dar es salaam. Insh'Allah kesho tukipata namba ya simu ya Tanzania nitaiweka hadharani ili niwasiliane na wenzangu wa JF. Sasa natumia namba yangu ya Qatar kwa roaming.

Ila jioni nitakuwa msikiti Qibratain kwenye swadaka ya Alhaj Hafif baada swala ya insha.

Kila la kheir
 
nimekuwa busy sana na nashukuru wanaJF watano nioeza kuonana nao. na wale wengine niliopanga kuonana nao. sasa natumia namba 0777 420000 ( Hii ya kijana wangu ambaye ananitembeza na nipo nae kila pahala.)
 
nimekuwa busy sana na nashukuru wanaJF watano nioeza kuonana nao. na wale wengine niliopanga kuonana nao. sasa natumia namba 0777 420000 ( Hii ya kijana wangu ambaye ananitembeza na nipo nae kila pahala.)
shukran
 
Inasikitisha sana wanaojiita Great Thinkers wana nipigia simu na kuanza kuporomosha mvua ya matusi .

Kwa kweli huu si uungwana. Mimi nimetoa namba nitakayokuwa naitumia tanzania kwa nia na madhumuni ya kutaka kujuana , kufahamiana na hata kubadilishana mawazo. Lazima ifahamike kuwa mimi ni mtu huru sana ndio maana naweka jina langu kamili na hata namba yangu kwa nia husika.

lakini penye wabaya na wazuri wapo pia. Nimeshukuru sana tena sana kwa wale ma member niliokutana nao na kubadilishana nao mawazo. vile vile wale nilio ongea nao kwenye simu na kufahamiana.na vile vile wale tuliopanga ahadi ya kukutana lakini hatukuweza onana.

naomba mfahamu siku saba ni chache sana kukaa Tanzania, hususan kwa watu wa watu kama mimi. kwani nimefika Mwanza siku moja, siku mbili Zengibari na nyingine Dar. Insh'Allah tutawasiliana nikifika na nitawaPM namba yangu ya Qatar

lakini pia nawashukuru hata wale walionipigia na kunitusi. Mimi nawaombea tu kwa Mola awape tarbia njema na hikma na busara katika makuzi yao.

Insh'Allah kesho panapomajaaliwa naondoka kurejea Doha.
Nawashukuru wote na nawapenda wote
 
yakheee karibu ZERO P*b
Shukran sana nfugu yangu. Unajua mimi mgeni tena. Zero p*b ipo wapi? au ile ya millenium tower?

Inshallah nitakuwa pale millenium tower chini kwenye corner ya chai/ kahawa. Nipigie tuonane
 
Pole sana Duktuur Hamza.

hao ni wale wachache wanajaribu kuharibu sifa za JF.
 
Pole ndugu Baru baru; Usijali sana kwani Penye wengi pana mengi!
Usafiri salama, panapo majaaliwa uje tena.
 
Back
Top Bottom