Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
- Inakuja itaitwa ABC, tayari nime-confirm.
Respect.
FMEs!
Umeconfirm na nani? na TCRA au na yeye mwenyewe EL?
- Inakuja itaitwa ABC, tayari nime-confirm.
Respect.
FMEs!
duh!mzee hilo jina lolIli iwe nini?
Any proof? Lowassa is CLEAN! Kazi ipo this 2010... Long way to go.
Jamani maisha magumu. Baruan Mhuza maisha yake ni ahueni sasa kuliko ilivyokuwa awali, mwacheni asomeshe watoto.
abc tv
Hizi zote zinasikika TZ yote? au ni kwa wapiga kura wake tu, au ni zile zinazoishia magomeni tuMhhhh na kuna abc TV yaja ,patakucha!
Mwanzoni huwa wanalipwa vizuri, siku zikisogea mishahara inakuwa kero ndio mwanzo wa migomo, nawashauri warudi walikokuwa wasije wakajuta baadaye.Je twaweza kujua huyu Nyiti anawezaje kuwalipa wafanyakazi hao mshahara mara tatu ya wanavyolipwa sehemu zingine? Nasikia huyu Lowassa ni hodari wa kuwatumia watu wengine kumfanyia shughuli zake.
sure maisha bwana kama watoto wanenda skuli ngoja aendelee tu hakuna ubayaJamani maisha magumu. Baruan Mhuza maisha yake ni ahueni sasa kuliko ilivyokuwa awali, mwacheni asomeshe watoto.
Kwa kweli TV yake bado haijajulikana lakini ni hakika ipo inakuja tena iko karibu. Tukipata info tutaelezana Mkuu
Je twaweza kujua huyu Nyiti anawezaje kuwalipa wafanyakazi hao mshahara mara tatu ya wanavyolipwa sehemu zingine? Nasikia huyu Lowassa ni hodari wa kuwatumia watu wengine kumfanyia shughuli zake.
tatizo ni ile kashfa ya Rich---monduli
- Inakuja itaitwa ABC, tayari nime-confirm.
Respect.
FMEs!
duh!mzee hilo jina lol
CLEAN indeed. Kama alikuwa ama yuko Clean kwa nini alikubali kujiuzulu? Haingii akilini kwamba hakuweza kujitetea kwa swahiba wake na kuonyesha cleanness yake. Badala yake akakubali kuwa slaughtered kama kondoo wa kafara to the expense of his friend's pride, maana ilibidi Swahiba wake avunje baraza la mawaziri kwa fedheha - jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu!
Nionavyo huko mbeleni baada ya Kikwete nchi hii itakuwa chini ya uongozi wa Lowasa and Co,jamaa kwa sasa hakuna wa kumpinga kwani kajiposition kila mahala na hakuna mtu wa kumzuia,lakini pia itawezekana iwapo tu Wa TZ tutaamuka kutoka usingiziini .Lowasa alivyo na visasi nchi hii itakuwa si mahala panapokalika .Na tuombe majaliwa ya Mungu atuajalie tufike 2015- Lowassa sisi taifa tumemshindwa sasa tusionee wengine wasio hatia, on the otherside naye Rostam amenunua TV na kuongezea kwenye media zake, maana yake ni moja, kwamba hawa watu wanafikiria kutawala siasa zetu for a very longtime in the future!
- Yaani wanaona mbali sana na wamegundua sisi wabongo ni kelele za mlango tu!
Respect.
FMEs!