Barua za kuwang’oa kina Lowassa zakamilika; Yadaiwa ziko mezani kwa Msekwa

Source: Tanzania Daima, hahahaaa.... the established Lowasa and Rostam spin doctors.... mtaspin sana, ila mabwana zenu lazima watoswe mwaka huu. Kibanda roho inamuuma kitumbua chake kina Nape wanataka kukitia mchanga, alijua between now and 2015 kazi ya kuwaremba Lowasa na Rostam kwenye Tanzania Daima angejenga hekalu la maana, angevuna mamia ya mamilioni kwa malipo yake na kitengo cha Salva ikulu kilikua chake mambo yakikubali...no wonder toka mambo yabadilike CCM, amekua analialia tu...na wapambe wao wengine...njoo na stori ingine basi, ehe Tanzania nayo itameguka Lowasa akikosa cheo, au vitazuka vita vya civil war tusipompa urais?... Wenzako kina Guninita washaanua matanga baada ya kusoma upepo. Habari ndiyo hiyo....

sio unaongea kama umejinyea na wewe...sasa unaongea ovyo ovyo maana mainzi yanakujalia
 
Mazingaombwe haya ni matokeo ya mfumo hafifu wa kisiasa aliotuachia Nyerere hasa pale alitamka yale maneno kuwa kiongozi mzuri lazim atoke CCM. Inamaa CCM wakimasimaisha Lowasa basi atakuwa ni kiongozi mzuri, wakimasimamisha Rosatma, basi walaa. Halafu CCM kimekuwa chama kinyonge sana mbele ya watu hao wa vijisenti walivyotuibia. Ningekuwa na uweo wa kuingia madarakani, wote wangeishia kule kunakohusika bila kuchelewa. Sheria za rushwa ziko wazi kabisa ila akina Hosea wanaogopa kuzitumia.

yaani kinchowasaidia ni wizi tu lakini kama ni chama kwa kweli kimekosa mvuto kabisaaaaaa
 
Kwahiyo ina Maana majimbo matatu yatahitaji Wabunge Wapya? Hurray CHADEMA !!!

Wanajivua uongozi wa NEC sio uanachama. Ubunge wanabaki nao labda wao wenyewe wawe na papara kama ile alioifanya Lowassa kwenye UwaziriMkuu.
 
Nape asitaje hao watatu tu;anapotuambia wanafukuza mafisadi ajue anafukuza walioua viwanda vyetu kama mgodi wa kiwira,kiwanda cha matairi cha general tyre Arusha,EPA,Richmond na MEREMETA HIVYO ANATANGAZA VITA PASIPO KUJUA ADUI NI AKINA NANI please NAPE WATCH YOUR BACK OOH KUMBUKA YA KORIMBA NA KOMBO
 
Ni muendelezo wa porojo tu,jana nimemuona white hair sijui kama alimpa mkono mzee wa kaya alipowasili,huu ujasiri hiki chama cha maiti aka magamba hawana,kama walishindwa kuwafukuza huko walipokaa ndio wataweza kuwaandikia barua sasa?:lying::lying::lying:

Mzee wa kaya hakumfika kwani alikuwa mbali kidogo.
 
wanawaonea, ccm inapaswa kuvunjwa na kuundwa upya na si kuwatoa kafara hao watatu tu.
 
Hizo barua zinaandikwa kwa magreda?
Itabidi wa-download point kwenye Google kwanza! Maana watuhumiwa hufikishwa mahakamani, sio kuzunguka nchi nzima kupiga makelele kama mwehu. Na wanajua Chenge (mwanasheria kutoka Havard) anajua hilo!!
 
Back
Top Bottom