Barua ya wazi kwa wadada wote wa kitanzania in jamii forums

What else can i say! Its lovely msg and very realistic thanks for sharing buddy,will print n' share with others too.God bless u abanduntly :pray:

Thanks sister, but inabid uongeze ur views so that ujumbe ufike vizuri
 
[FONT="Comic
Sans MS"]Mkuu, "ready made" husband ndo iko kwenye chat, wewe
tena unawaambia wasitafute hizo?
[/FONT]
Ready made muhimu hata akikumwaga umekula good time sio mnasota na dhiki mwanzo mwisho akizipata anakutimua kama hakujui.
 
Thanks for u'r nice sms, nimeipenda na nina iman itatusaidia wengi tunaotarajia kuingia kwenye mchakato
 
Thanks for u'r nice sms, nimeipenda na nina iman itatusaidia wengi tunaotarajia kuingia kwenye mchakato
 
Thanks muhimu kuongezea mawazo yako and what you think

ila kaka, ingawa sio wengi lakini kuna kina dada wengi siku hizi nao wanawatumia wanaume; so usanii imekuwa kila kona. ila kiukweli vibinti vingi vinachanganyikiwa hata kunywa sumu kwa hii kitu ya kudanganywa, and too sad ni ngumu kumshauri otherwise, inahitaji kuumizwa mara kadhaa ili kuwajua kwa undani hawa viumbe wa kiume.

True love, sio wote wanayokutanana nayo so hii lust and admiration itaendelea kuwa kiunganishi kikubwa kati ya hizi sex mbili.
 
Thanks alot for the advice! though language inasumbua kidogo. But the problem is to know the honest and true one is very difficulty, pls help me how would I know?

Its difficult but possible, hivi dada yangu ukiamua mwezi mzima kumfatilia mtu habari zake utashindwa, unajipendekaza kwa classmates wake bila yeye kukutambulisha, workmates, au neighbours na unapata over view, then kamata mwenzako unaejua hapa furaha ipo hata kama kimaisha hajasimama kivile as siku zinasogea mambo yatanyooka muhimu awe mchapakazi
 
ahsante kwa ushauri.tunayajua hayo,ila tunaendelea kudanganyika

Nadhani kudanganyika kuko ndani ya genes zenu. Unakuta mwanadada msomi mwenye akili nzuri, ana kazi nzuri na anajitegemea lakini anaingizwa mkenge na mpuuzi mmoja tu ambaye hata kwa akili hafikii nusu ya akili za huyo bibiye. Kuna cases unaletewa shemeji na dada anamtambulisha kuwa ni mchumba akifika unaongea naye kwa dakika chache tu na kugundua ni mpuuzi wa kutupwa. Hapo ndiyo huwa naishiwa maneno kabisa
 
Its difficult but possible, hivi dada yangu ukiamua mwezi mzima kumfatilia mtu habari zake utashindwa, unajipendekaza kwa classmates wake bila yeye kukutambulisha, workmates, au neighbours na unapata over view, then kamata mwenzako unaejua hapa furaha ipo hata kama kimaisha hajasimama kivile as siku zinasogea mambo yatanyooka muhimu awe mchapakazi

Inawezekana sana ila hawa wenzetu hawakuumbwa kihivyo. Na wangekuwa hivyo nadhani waoaji wangekuwa wachache sana. Na haya ma-tamthiliya yao ya kisasa ndiyo yamewaharibu kabisa kwani maudhui yake makubwa ni mahusiano ya kingono kabla ya ndoa bila kujali unayehusiana naye ameoa au bado.
 
Mapenzi ya kweli hakuna siku hizi mapenzi ya fifty fifty ndo yamejaa na ukikaa kusubiri anayekupenda kwa 100% utakufa hujampata!
 
That letter is true and absolutely true. Majority ya wanaume ni baba moja mama moja. Wengi ni waongo na wanapenda kuplay with women bodies and emotions kama watoto wanavyopenda matoy. Lakini kila mwanaume ukimuuliza atajidai yeye mpole tena anachukia maplayer wakati in a low low na yeye ni major player na kama sio player wait till he gets money you will see hsi true colors.
 
I agree with you sister but even a general rule has exceptions.. Wapo wanaume committed kweli kweli but unakuta wadada hawawapendi hao wanaume eti hawana vigezo, wanawake wengi wanachezewa na wanaume wale wale kila siku lakini hawakomi,, players ndo wanaopendwa as wana vigezo na wanajua kudanganya wadada
 
we MKATA KIU!barua yako inawapa wadada maujanja UTAKATA WAPI KIU SASA wote wakiwa wajanja?

I like challenges, nataka mdada anaejielewa ili tudanganyane sitaki kumuonea mtu,,, msichana wa kila kitu yes simuwezi kwa kweli that's why napenda kutoka na wadada wachangamfu as hakuna kuoneana
 
Mapenzi ya kweli hakuna siku hizi mapenzi ya fifty fifty ndo yamejaa na ukikaa kusubiri anayekupenda kwa 100% utakufa hujampata!

Be patient madam, na usisahau kumuweka Mungu kwenye mahusiano yako,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom