Barua ya wazi kwa Raisi...Wangu J.k Kikwete Ngangari! Msikivu

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
1.Ununuaji wa Mashangingi (Land Cruiser VX) Ni Usitishe haufai kwa Nchi yenye Wananchi Masikini

2.USIendelea kuwakumbatia Wafanyakazi wa Shirika la Ndege walioliua

3.Vyandarua vya George. W. Bush Virejeshe na mwambie atusaidie Kuua na Kuondoa Mazalia ya Mbu ...

4.Boresha Mazingira ya Hospitalini na Madaktari wanomba na kutetea Hali Mbaya Kutishia kuwafukuza Hapana Nenda Kajionee Mwenyewe wachana na Miguberi Inayokuadithia Yatizame vizuri yanavyokuwekea Gepu na Wananchi...

5.Kilimo Kwanza bila Kuwapa Wakulima Mikopo Nafuu... Matrekta Yanaozeana Suma... Wawezeshe Utawadai watu wapo tayari kupiga kazi...

6.Kuacha Mitaa ya kwenye Majiji ikiwa Michafu vumbi na Mashimo ya kila Size...Je uliowateua Wanakusaidia? au

7.Foleni jijini Dar Matrafiki wamegeuka kuwa Ma Vehicle Ispector Wanakagua Magari na Kudai Rushwa badala ya Kuongoza Magari Hawa ndio Chanzo cha Foleni Dar... Wanaongoza Magari Ukiwa unapita Tu na ukishapita Wanabana Pembeni kukamata magari na Kuomba Rushwa hata kwa makosa yale ya Kuonya...

8.Kumbuka na Ahadi zako kidogo kidogo...

9.Chukua mzauri ya Wapinzani nchi iende sawa.. zaidi Mwisho utakuwa si mzuri ni kuwekeana visasi visivyo na umuhimu kwa nchi iliyokuwa inasifika kwa amani zamani..

10.Penye Tatizo la kimakosa litokeapo fukuza system Nzima wengine wakiona watata akili kwa yaliyowapata wenzao...
 
very good, hasa hilo la visasi hilo, wanataka kutisha watu wasikosoe serikali, wanatesa watu. too bad.
 
Unamshauri kaka wa LIWALO NA LIWE?! Hao washapinda ni SIKIO la kufa!!
Utaumia moyo bure!!!!
 
NO. 11. Angalia wanaokuharibia ni watendaji wako, jenga tabia ya kutimua kwa mamlaka yako vigogo na uwaadhibu.

12. Elimu waliokushauri walikupoteza ibaki WIZARANI pake KAMA ZAMANI, yule DEO abaki

akiriport wizarani

13. Wawekee walimu posho mbili tu.
i. Teaching allowance
ii. Housing & Transport
 
Siku hizi huenda ameanza kusoma soma maana zamani alikuwa haangalii maandishi kabisa. Toka imekula kwake kwenye ripoti ya CAG atakuwa ameanza kuyapenda maandishi maana alikabidhiwa ripoti akasema ataichungulia walau kidogo akaishia kusoma Executive summary to na kuruhusu ipelekwe bungeni bila kujua kilichomo ndani. Kilichotokea wapendwa wake wote akina Nundu, Ngeleja, Maige nje. Hana hamu, huenda saizi kila andiko analo na hata hii ataisoma akirudi toka kwa Kagame
 
Nadhani na Kagame atampa Darsa Zuri... Uongozi wa Kagame hakuna Mla bata Wote wanapiga kazi Atawaadithia Mji wao Ulivyo Msafi
 
1.Ununuaji wa Mashangingi (Land Cruiser VX) Ni Usitishe haufai kwa Nchi yenye Wananchi Masikini

2.USIendelea kuwakumbatia Wafanyakazi wa Shirika la Ndege walioliua

3.Vyandarua vya George. W. Bush Virejeshe na mwambie atusaidie Kuua na Kuondoa Mazalia ya Mbu ...

4.Boresha Mazingira ya Hospitalini na Madaktari wanomba na kutetea Hali Mbaya Kutishia kuwafukuza Hapana Nenda Kajionee Mwenyewe wachana na Miguberi Inayokuadithia Yatizame vizuri yanavyokuwekea Gepu na Wananchi...

5.Kilimo Kwanza bila Kuwapa Wakulima Mikopo Nafuu... Matrekta Yanaozeana Suma... Wawezeshe Utawadai watu wapo tayari kupiga kazi...

6.Kuacha Mitaa ya kwenye Majiji ikiwa Michafu vumbi na Mashimo ya kila Size...Je uliowateua Wanakusaidia? au

7.Foleni jijini Dar Matrafiki wamegeuka kuwa Ma Vehicle Ispector Wanakagua Magari na Kudai Rushwa badala ya Kuongoza Magari Hawa ndio Chanzo cha Foleni Dar... Wanaongoza Magari Ukiwa unapita Tu na ukishapita Wanabana Pembeni kukamata magari na Kuomba Rushwa hata kwa makosa yale ya Kuonya...

8.Kumbuka na Ahadi zako kidogo kidogo...

9.Chukua mzauri ya Wapinzani nchi iende sawa.. zaidi Mwisho utakuwa si mzuri ni kuwekeana visasi visivyo na umuhimu kwa nchi iliyokuwa inasifika kwa amani zamani..

10.Penye Tatizo la kimakosa litokeapo fukuza system Nzima wengine wakiona watata akili kwa yaliyowapata wenzao...

Yale mazuri uliyoandika nimeyachukua,mabaya nayaaacha,nawahi Konyagi ya kopo.
 
Hivi unaweza kumshauri huyu jamaa nasikia mpaka uwe mzee wa Tiba mbadala ndiyo anaweza kukusikiliza vinginvyo hawezi kwake mtaalamu na ndumba ni NDUMBA kwanza utaalamu baadae, fuatilia kwa umakini utayajua haya nisemayo juu ya mtu huyu DHAIFU.
 
1.Ununuaji wa Mashangingi (Land Cruiser VX) Ni Usitishe haufai kwa Nchi yenye Wananchi Masikini

2.USIendelea kuwakumbatia Wafanyakazi wa Shirika la Ndege walioliua

3.Vyandarua vya George. W. Bush Virejeshe na mwambie atusaidie Kuua na Kuondoa Mazalia ya Mbu ...

4.Boresha Mazingira ya Hospitalini na Madaktari wanomba na kutetea Hali Mbaya Kutishia kuwafukuza Hapana Nenda Kajionee Mwenyewe wachana na Miguberi Inayokuadithia Yatizame vizuri yanavyokuwekea Gepu na Wananchi...

5.Kilimo Kwanza bila Kuwapa Wakulima Mikopo Nafuu... Matrekta Yanaozeana Suma... Wawezeshe Utawadai watu wapo tayari kupiga kazi...

6.Kuacha Mitaa ya kwenye Majiji ikiwa Michafu vumbi na Mashimo ya kila Size...Je uliowateua Wanakusaidia? au

7.Foleni jijini Dar Matrafiki wamegeuka kuwa Ma Vehicle Ispector Wanakagua Magari na Kudai Rushwa badala ya Kuongoza Magari Hawa ndio Chanzo cha Foleni Dar... Wanaongoza Magari Ukiwa unapita Tu na ukishapita Wanabana Pembeni kukamata magari na Kuomba Rushwa hata kwa makosa yale ya Kuonya...

8.Kumbuka na Ahadi zako kidogo kidogo...

9.Chukua mzauri ya Wapinzani nchi iende sawa.. zaidi Mwisho utakuwa si mzuri ni kuwekeana visasi visivyo na umuhimu kwa nchi iliyokuwa inasifika kwa amani zamani..

10.Penye Tatizo la kimakosa litokeapo fukuza system Nzima wengine wakiona watata akili kwa yaliyowapata wenzao...
Tafadhali edit tena, Tunashindwa kuelewa. Inawezekana una point nzuri hapa.
 
Unaonesh hujamsikia Pinada juzi bungeni? au ndio kurukia mada huko? kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Pinda ni Mbuzi wa Kafala tu Yule Zomba una akili za Kufundishwa Masalakurangwa wewe.... Nimerukia Hoja zipi? Katiba nayo Nimerukia? Ugombea Binafsi nao Nimerukia Hii msg Inamhusu Kikwete Siyo Pinda Mmwaga Machozi Liwalo na Liwe...
Paka wee Zomba... Muulize Faiza foxy alitaka Kushindana na mimi Alikimbia... wewe Muosha vyoo vya Ikulu huna tofauti na akili za babako unayemtetea.... Una tumbo la Kuhara nini?

Pinda huwa siwezi kumsikiliza sababu anaongoza serikali dhaifu, na hii msg ni ya kikwete kwahiyo Zomba tulia Upakatwe
 
Duduwasha, mtembee kwa hoja huyo bwana Zomba ili ajikune kipitia darasa lako huru
 
Back
Top Bottom