napata taabu kidogo.kichwa cha habari tu tayari wamekwisha vunja sheria yenyewe toka kwenye kipengele hicho walikichotumia.narejea.
(5) a police officer or person in authority shall not offer or make
or cause to be offered or made any inducement, threat or promise to any
person charged with an offence to induce him to make any statement with
reference to the charge against him. But no police officer or person in
authority shall prevent or discourage by any caution or in any other way
any person from making, in the course of any investigation, any statement
which he may be disposed to make of his own free will. (investigation by
police officer
act no. 9 of
2002 sch.)
kwa ufahamu wangu neno amri tayari nikutishwa labda wanasheria wanisaidie!
tatizo la chadema mnapoteza muelekeo haraka sana na tumeanza waona waleta fujo na kuvunja amani.. Kwa taarifa yenu huyo mnyika hiyo barua ameshaipokea na aliyeweka humu jf ni mnyika mwenyewe na sio mwingine.. Wabunge wa chadema wote hovyo mumepeteza muelekeo ..bora zito kabaki kuwa na akili sahihi si hawa wengine wapayukaji tu.
we masaburi kwelikweli huu ushabiki wa nini?je unajua sheria wewe?kama we ni askari kubali mmechemka barua hana hata nembo ya polisi.tatizo la chadema mnapoteza muelekeo haraka sana na tumeanza waona waleta fujo na kuvunja amani.. Kwa taarifa yenu huyo mnyika hiyo barua ameshaipokea na aliyeweka humu jf ni mnyika mwenyewe na sio mwingine.. Wabunge wa chadema wote hovyo mumepeteza muelekeo ..bora zito kabaki kuwa na akili sahihi si hawa wengine wapayukaji tu.