barua ya polisi kwa Mbunge wa Ubungo Mh.John mnyika

Jun 27, 2012
17
7
nimeshangazwa sana na kuiona barua ya jeshi la polisi tanzania kwenda kwa john mnyika iliyoandikwa juzi leo iko kwenye mitandao kama hujaiona hii hapa

my tak

barua hii imeandikwa na jeshi la polisi,haijamfikia mlengwa lakni tayari iko hapa nani anauza siri za nchi

barua ya mnyika.jpg
 
Wanaweza wakalazimisha afike kituoni lakini hawataweza kulazimisha kuhojiwa na kupewa majibu sahihi! Labda wamfanyie toucher kama walivyomfanyia Dk Ulimboka.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
 
He he he. Jeshi la polisi bana. Jamaa si yuko Dodoma Bungeni? Sasa barua imetolewa tar.11/7/2012 na anatakiwa tarehe 12/7/2012. is this possible? Shida kweli kweli
 
Nadhani sasa wameanza kutambua days are numbered!! Nilidhani watamkamata kama ilivosema, kumbe nao wanaweza kuwaandikia watu barua wafike ofisini?? Au hii ni kwa watu wanaowaogopa tu??

Navojua ili mtu akatoe maelezo Police huku mtaani ni shughuli pevu, pingu, vibao na abuse nyingine nyingi!!
 
Tarehe 12 July imeshapita. Je, alienda? na asipoenda polisi wanachukua hatua gani?
 
Kukukukara zao kwani kwenda polisi ndio kutoa maelezo hata wakipewa ushahidi watafanyia kazi kwa ueledi upi waliyonayo?
 
Mnyika asiende polisi dhaifu hao wanaogopa nguvu ya umma...wanatingisha kibiriti..nchimbi usiwaingize mkenge wenzio..
 
nimeshangazwa sana na kuiona barua ya jeshi la polisi tanzania kwenda kwa john mnyika iliyoandikwa juzi leo iko kwenye mitandao kama hujaiona hii hapa

my tak

barua hii imeandikwa na jeshi la polisi,haijamfikia mlengwa lakni tayari iko hapa nani anauza siri za nchi

View attachment 58688

wewe mwenyewe mhusika, kwani umeiona, badala ya kukaa kimya, tayari umeisambaza JF. Huoni kama na wewe umechangia barua hii kusambaa? Anyway, siyo ishu kubwa, kwani hata hivyo siyo siri, ni wito wa kawaida. kama siri zinasambaa, sembuse hiyo ambayo siyo siri?

Hii ni tahadhari kwa wanaofanya UFIRAUNI wakiamini wako peke yao au na watumishi walio chini yao kuwa, mitandao ya kijamii itawafukunyua tu
 
Hii barua hata mpaka inapowekwa hapa bado haijapokelewa na mhusika je ataipata lini na ajiandae lini?? It is a problem with our system, give him time to prepare to leave from Dodoma, ask for permission from Speaker and things like that. Police plse work under new system and oppressive system.
 
Mhhhhhhhhhh! Barua ya kutoka ofisi ya serikali kubwa kama hii imeshindwa kutumia 'headed paper'! Kama kuna walakini kidogo! Mbona juzi walisema hawawezi kuwalazimisha kwenda kutoa ushahidi wa hii kitu?
 
Huu ni uthibitisho wa udhaifu wa serikali yetu.. huwezi kuandika barua ifike mitandaoni kabla ya kumfikia muhusika hasa ukizingatia kuwa imetoka kwenye vyombo vya usalama.
 
nimeshangazwa sana na kuiona barua ya jeshi la polisi tanzania kwenda kwa john mnyika iliyoandikwa juzi leo iko kwenye mitandao kama hujaiona hii hapa

my tak

barua hii imeandikwa na jeshi la polisi,haijamfikia mlengwa lakni tayari iko hapa nani anauza siri za nchi

View attachment 58688
PEOPLE: Barua za jeshi la Police ni lazima ziwe na nembo yao kuwa more official...hapo ni kaudhaifu kama ni kweli...
Kuhojiwa ni sehemu muhimu na sijui matokeo yake wataweka bayana na kwa ukweli....? We know they always defend the reality to become opposite....
 
Back
Top Bottom