Barua ya Onyo kwenye Radio mbalimbali hapa TZ.

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Habari yako msomaji,
Kuna barua zimetolewa na TCRA makao makuu kwa radio nyingi sana hapa nchini ambazo zilikuwa haziwasilishi Program schedule, program themes na goals ya programs kwa utaratibu wa quarterly submission! Radio nyingi zitapewa adhabu kama hazitafanya hivyo haraka iwezekanavyo! hii ni regulation iliyo kwenye Broadcasting Services Contents 2005.

Sasa kama unahitaji msaada kufanikisha hilo tuwasiliane. Tunatoa ushauri na kufanya kazi kama hiyo. Angalia radio yako isifungwe! Tupo pamoja!
Thanks
 
Back
Top Bottom